Bei ya korosho zilizobanguliwa

Ukifanikiwa kufikisha mchele na korosho South Africa pesa yake sii haba
 
exchange rate ni ngapi now tupate picha kamili. Lakini Sky kuja kuifikisha kama hivyo huko London super market, labour power embedded in it is high and consequently high price! You can not by any stretch of imagination call this exorbitant price!
Hata nusu yake basi
 
Hii ni dhahabu ya kijani hatuja iweka hivyo kwenye mind set zetu.
Tungekuwa na viwanda, korosho tu ingetosha kuipeleka mikoa ya kusini kwenye uchumi wa kati. Pia cheki na retail price ya kahawa, unaweza lia.
 
Sasa badala yakujenga viwanda vyakubandua koroshow naona wawekezajiwengi wamejenga Majengo yakubanduana.
 
Kwako hiyo ina justify mtu apotezwe?
 
Exchange rate ni £1 = Tshs 2,986.


Wakati mwingine inaonekana unaongea na watu wasiojua chochote ila wabishi sana. Wote tunataka kuisadia nchi yetu, ingawaje tuna mitizamo tofauti kidogo.

Wengine ni kaka zetu, dada, kaka, baba, mama, babu, bibi zetu. Lakini ndio hivyo hata kama watu wa kusini. Hata kama hatuna maslahi binafsi tuwasaidie ni ndugu zetu,, nchi zilizoendelea siku zote wanaangalia maslahi ya Taifa, hawana utoto.
 
Ukiwa na kiwanda hata ukiwauzia Tesco ujazo wa kilo 25-50 wao wafanye packaging yao wenyewe pia si haba.
 
Acha wivu na ubaguzi nani alio kukataza kuazisha kiwanda cha korosho....tumekalia majungu na fitina....huyu unae msema kaajiri raia wa ngapi? wewe onyesha mchango wako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…