Niagize Dubai au ninunue hapahapa Tanzania?

Heisenberg

JF-Expert Member
Apr 26, 2017
1,683
2,907
Wakuu ninamiliki Rav4 2006 aka Miss Tz. Baada ya kupima uchumi wangu nimegundua sina uwezo wa kununua gari ninalilipenda kwa siku za karibuni.

nimeamua nilifanyie matengenezo makubwa pamoja na ku upgrade baadhi ya vitu ili liwe vizuri liendane na wakati huku siku zikisoge

Je. vitu hivi naweza vipata hapa Tz kwa bei nzuri? au nitafute supplier wa Dubai au China?

IMG_8146.jpg

Roof rack hizo juu ya gari

IMG_8114.jpg

IMG_8115.jpg

Nahitaji stearing yenye controls za Music

IMG_8112.jpg

Nahitaji android radio Tesla Style


IMG_8110.jpg

Napenda hizo Side step


IMG_8113.jpg

Rubber za kwenye vioo

IMG_8147.jpg

Taa za nyuma za LED

IMG_8148.jpg

Taa za mbele za LED


Pia na udambwi dambwi Mwingine.


Naombeni ushauri
 
Back
Top Bottom