Wana jamvi nina malizia baadhi ya vyumba! Nimepita kariakoo nikiwa na haraka nikaambiwa bei ya bidhaa ni kama ifuatavyo:-
1) Ceiling board ya south africa = Tshs. 15,000 kenya = Tshs 14,500 Tanzania Tshs. 14,500
2) Chokaa nyeupe (25 Kg) = Tshs.9,OOO
Je, hizi bei ziko sawa au jamaa walitaka kunilangua? Wapi nitapata kwa bei nzuri?

Mimi nahitaji mbao za kushikia slab na milunda jamani. Kwa yeyote aliyemaliza ujenzi hasa wa ghorofa na ana vitu hivi naomba aniuzie. Asanteni.

usiende kununua peke yako, nenda na fundi mzoefu.. utapata mali safi..usiogope sana bei, mara nyingi Huko KKoo kwa jinsi nilivyopatembelea sana bei za vitu hazitofautiani sana.. ila cha kuchunguza ni ubora wa bidhaa.. ni mahiri sana wa kubadilisha kisha utaskia hii ni JENUIN (Genuine).. uwe makini.. hata ceiling board utaskia hii ni jenuin.. as if ni spea..
kama hujajipanga achana na hiyo biashara ya kujenga a msaada, endelea kukaa knye nyumba za kupanga hadi Mungu atakapokuwezesha
Mkuu kama upo dar es salaam, nenda pale Ubungo sehemu inaitwa business park, ni jirani na shekilango na kiwanda cha UFI. Ulizia bandari kavu, utapata mbao unazozihitaji kwa bei ya chini mno.
Ndugu zangu kwa Gypsum Board,Hard Board vya aina mbalimbali na ubora halisi kwa uhakika nenda Kariakoo mtaa wa nyamwezi/kiungani au Piga simu 022-2180274 pia wavitu vingine kama gypsum powder,chokaa, mikanda ya gypsum,