Bei ya Chokaa na Ceiling Boards.

M-pesa

JF-Expert Member
Sep 4, 2011
602
151
Wana jamvi nina malizia baadhi ya vyumba! Nimepita kariakoo nikiwa na haraka nikaambiwa bei ya bidhaa ni kama ifuatavyo:-

1) Ceiling board ya south africa = Tshs. 15,000 kenya = Tshs 14,500 Tanzania Tshs. 14,500
2) Chokaa nyeupe (25 Kg) = Tshs.9,OOO

Je, hizi bei ziko sawa au jamaa walitaka kunilangua? Wapi nitapata kwa bei nzuri?
 
hapo hapo kariakoo waambie unataka za china au za kuchakachua bei yake ni nusu ya hiyo
 
Wana jamvi nina malizia baadhi ya vyumba! Nimepita kariakoo nikiwa na haraka nikaambiwa bei ya bidhaa ni kama ifuatavyo:-

1) Ceiling board ya south africa = Tshs. 15,000 kenya = Tshs 14,500 Tanzania Tshs. 14,500
2) Chokaa nyeupe (25 Kg) = Tshs.9,OOO

Je, hizi bei ziko sawa au jamaa walitaka kunilangua? Wapi nitapata kwa bei nzuri?

Ulitakiwa utafute zenye ubora kwanza badala ya kuangalia bei peke yake. Kama bei ndio kigezo pekee unachokiangalia utaishia kuuziwa unga wa muhogo ukiambiwa ni chokaa.
 
Mimi nahitaji mbao za kushikia slab na milunda jamani. Kwa yeyote aliyemaliza ujenzi hasa wa ghorofa na ana vitu hivi naomba aniuzie. Asanteni.
 
kama hujajipanga achana na hiyo biashara ya kujenga a msaada, endelea kukaa knye nyumba za kupanga hadi Mungu atakapokuwezesha
 
usiende kununua peke yako, nenda na fundi mzoefu.. utapata mali safi..usiogope sana bei, mara nyingi Huko KKoo kwa jinsi nilivyopatembelea sana bei za vitu hazitofautiani sana.. ila cha kuchunguza ni ubora wa bidhaa.. ni mahiri sana wa kubadilisha kisha utaskia hii ni JENUIN (Genuine).. uwe makini.. hata ceiling board utaskia hii ni jenuin.. as if ni spea..
 
Mkuu kama upo dar es salaam, nenda pale Ubungo sehemu inaitwa business park, ni jirani na shekilango na kiwanda cha UFI. Ulizia bandari kavu, utapata mbao unazozihitaji kwa bei ya chini mno.

Mimi nahitaji mbao za kushikia slab na milunda jamani. Kwa yeyote aliyemaliza ujenzi hasa wa ghorofa na ana vitu hivi naomba aniuzie. Asanteni.
 
Asante sana dada Salma. Ubarikiwe!!

usiende kununua peke yako, nenda na fundi mzoefu.. utapata mali safi..usiogope sana bei, mara nyingi Huko KKoo kwa jinsi nilivyopatembelea sana bei za vitu hazitofautiani sana.. ila cha kuchunguza ni ubora wa bidhaa.. ni mahiri sana wa kubadilisha kisha utaskia hii ni JENUIN (Genuine).. uwe makini.. hata ceiling board utaskia hii ni jenuin.. as if ni spea..
 
Mkuu kama upo dar es salaam, nenda pale Ubungo sehemu inaitwa business park, ni jirani na shekilango na kiwanda cha UFI. Ulizia bandari kavu, utapata mbao unazozihitaji kwa bei ya chini mno.

Mkuu nipo Dar. Nashukuru sana kwa msaada wako, nitakwenda hapo uliponielekeza. Ubarikiwe sana.
 
Lakini mwenzetu huyu hajatuambia kiwango cha ubora anachokitaka, inawezekana akawa anahitaji kiwango ambacho za kichina na za mchakachuo zitafikia viwango, hivyo usimkatishe tamaa. Bora ghali lakini!!!
 
Ndugu zangu kwa Gypsum Board,Hard Board vya aina mbalimbali na ubora halisi kwa uhakika nenda Kariakoo mtaa wa nyamwezi/kiungani au Piga simu 022-2180274 pia wavitu vingine kama gypsum powder,chokaa, mikanda ya gypsum,
 
habari yako mkuu.
mkuu nimeku pm kuhusu mradi wangu wa kuandika kitabu lakini sikupata response toka kwako
 
Ndugu zangu kwa Gypsum Board,Hard Board vya aina mbalimbali na ubora halisi kwa uhakika nenda Kariakoo mtaa wa nyamwezi/kiungani au Piga simu 022-2180274 pia wavitu vingine kama gypsum powder,chokaa, mikanda ya gypsum,

Sawa mkuu tutakutembelea
 
usiende kununua peke yako, nenda na fundi mzoefu.. utapata mali safi..usiogope sana bei, mara nyingi Huko KKoo kwa jinsi nilivyopatembelea sana bei za vitu hazitofautiani sana.. ila cha kuchunguza ni ubora wa bidhaa.. ni mahiri sana wa kubadilisha kisha utaskia hii ni JENUIN (Genuine).. uwe makini.. hata ceiling board utaskia hii ni jenuin.. as if ni spea..

salamaaa!!kwa maujuzi utafikiri fundi!aiss it is true ukiwa na fundi watakusaidia kupata vitu bora!!BUT kuwa makini mafundi wengine wanatangulia dukani kupatanisha bei ya juu,then ukisha nunua anarudi kuchukua mgao wake!!!
 
Andersonds

''habari yako mkuu.
mkuu nimeku pm kuhusu mradi wangu wa kuandika kitabu lakini sikupata response toka kwako''

Ni ukweli mkuu naomba samahani sana pana wakati nakuwa busy nashindwa kufungua blogs labda tuendelee kuwasiliana tukijaliwa kukutana itakuwa bora zaidi,''NAOMBA RADHI''
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom