Bei ya Bitcoin sasa imefika dola 66,000 (TZS 153 mil +)

Mkuu hakuna watu wabishi na wababaifu Kama watu wa jf ....

Kitu hakijui lakin anakikataa kuwa hakipo .....

Watu Kama hawa hata siku za mwisho watabaki wameduwaa tu ...

Nuhu wakati anajenga safina angekuwa zama hizi nahisi angepata tabu Sana ,kwa sababu watu wenyewe ni Kama hawa ...


Wabishi hatari
 
Na hasa watanzania wengi wanaamin kila kitu Ni wizi mm nimeijua btc ikiwa dollar 9000/ lakin Hadi naandika ujumbe nimenunua coin nying Sana about 10milion Aina tofaut tofauti
 
Siyo 2010 tu. Aliye nunua mwezi wa nane low price ilikuwa USD 37000 Leo hii mwezi wa kumi iko mara 1.8 zaidi sawa na ongezeko la Karibia 200% View attachment 1984002
Ni kweli kabisa! Sometimes sijui ni uoga sijui ni kuto elewa, mtu anatoa mil 100 anaweka benk anakaa akingoja riba ya 8% kwa mwaka! Wakati angeweza fungua macho akawekeza hata robo ya hiyo 100mil yake kwenye coins (hasa BTC na ETH) mwanzoni mwa mwaka huu wenda leo angekua mbali mno!
 
Mm Naona changamoto kubwa Ni uoga na pia uelewa upo chini sana
 
$1K Invested in SHIB on January 1 2021 Worth Now $500 Million
 

Kwanza shiba haijawahi kufika 0.1 na hata ikifika itachukua miaka mingi sana..

Pili kwa kwa bei ya mwezi uliopita kama ungekua na laki3 maana yake ni almost dola 130! So usingeweza kupata coins milion 95 possibly ungepata coins 26mil!

(Angalia data zako vizuri...)

Tatu, kwa kuangalia tokenomics ya shiba kufika 1usd labda itokee miujiza au developer wake waje na strategies za kupunguza coins kwenye circulation! Kwa coin zilizopo kwenye mzunguko shiba kufika 1usd maana yake imeipikua mpaka bitcoin kwenye marketcap!

Kitu ambacho practically au kiuhalisia ni kigumu japo theoretically might be possible!
 
Mkuu umesema Shiba haijawahi kufika Tzsh 0.1 hyo Ni sh ngap ama wewe umezungumzia 0.1$????? Mkuu nakataa maana nilishafanya hesabu before kipindi ikiwa 0.0032Tsh ambapo ungenununua kwa lak 300,000 ungepata coin Zaid ya milion 92+
 
Sasa unazan dolar 3000 ni pesa ndogo kwa 2010 enh
kipindi hicho nahisi ilikuwa chini ya dollar elf 3000.mm nilitaman Sana kuijua lakin siku hyo nilipoijua tu nilijiunga

Hatujabisha mkuu ....Ila taifa ndio limeyakataa haya mazaga ..ko unaweza ukapigwa na ukawa huna la kusema Wala kwakwenda.
 
Kwenye global markets huwa hatutumii Tsh mara nyingi tunatumia USD.
 
Sasa unazan dolar 3000 ni pesa ndogo kwa 2010 enh



Hatujabisha mkuu ....Ila taifa ndio limeyakataa haya mazaga ..ko unaweza ukapigwa na ukawa huna la kusema Wala kwakwenda.
Ni taifa gani limekataa mkuu? Unafwatiliaga hotuba za Mama samia kweli?
 
Jichanganyeni tu... Pesa ni halisi Ila sisi tupo nyuma ya hizo mambo , sio level yetu... Mtaibiwa huko
Yani unafurahia kuwa nyuma daaah!!

Kinacho uma zaidi ni watu wenye mawazo kama yako wamejazana kwenye ofisi nyingi za serikali. Wengine ukiwaambia watumie hata email kutuma ujumbe wanaona unawaibia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…