Bei ya bati migongo mikubwa 28G (Gauge 28) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei ya bati migongo mikubwa 28G (Gauge 28)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kibirizi, Jul 16, 2011.

 1. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Wanajamvi napenda kuuliza kwa mtu mwenye taarifa za kina juu ya bei za bati migongo mikubwa gauge 28 ambazo zinategenezwa na Aluminium Africa, ni shilingi ngapi kwa running meter au square meter na taratibu za malipo zikoje, hali kadharika zile kofia bei zake pamoja na misumari.
   
 2. aspen

  aspen JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ya gauge 26 ni 11800 kwa mita na gauge 28 ni 10500 kwa mita kazi kwako mkuu fanya mambo
   
 3. M

  Malolella JF-Expert Member

  #3
  Feb 9, 2013
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Majibu wadu nac2nasubiri
   
 4. T

  Tatenda Member

  #4
  May 7, 2015
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 15
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 5
  there is a problem of being a youth
   
Loading...