Bei ndogo ya viwanja kuwahi kutokei kwenye soko

Jaslaws

JF-Expert Member
May 31, 2011
6,016
5,294
Wasalaam wana bodi..
Kutoka na hali mbaya ya kiuchumi walionayo watanzania wenzetu,tumeamua kushusha being za viwanja vyetu,kutoka sh 10000 kwa sqm mpaka 5000 kwa sqm.ni punguza kkaribia 50% viwanja viko kigamboni,puna centre kata ya Pemba mnazi,mnakaribishwa nyote
NB.viwanja viko m.500 tu kutoka baharini,umeme Upo..karibuni.pm kwa maelekezo zaidi.
 
Hongereni kwa kwenda na wakati, wengine wanapandisha sijui wanafikiri pesa zinatoka mbinguni????... Anyway pungizeni tena sq iwe elfu tatu, nitawatafuta hata mm...kwasasa napata pesa ya kujikimu tu!!!!!.... Mkishusha hapo naomba mkianzisha thread muipe maandishi ya BOLD kabisa
 
Sasa mkuu..ila elfu tatu ni hasara hiyo,hii being hapo nakula 1000 tu mkuu.
 
Wasalaam wana bodi..
Kutoka na hali mbaya ya kiuchumi walionayo watanzania wenzetu,tumeamua kushusha being za viwanja vyetu,kutoka sh 10000 kwa sqm mpaka 5000 kwa sqm.ni punguza kkaribia 50% viwanja viko kigamboni,puna centre kata ya Pemba mnazi,mnakaribishwa nyote
NB.viwanja viko m.500 tu kutoka baharini,umeme Upo..karibuni.pm kwa maelekezo zaidi.
Mbona hujaweka mawasiliano kama ni kweli!
 
Hongereni kwa kwenda na wakati, wengine wanapandisha sijui wanafikiri pesa zinatoka mbinguni????... Anyway pungizeni tena sq iwe elfu tatu, nitawatafuta hata mm...kwasasa napata pesa ya kujikimu tu!!!!!.... Mkishusha hapo naomba mkianzisha thread muipe maandishi ya BOLD kabisa
 
Ujue tapel mkuu kama no;kakosea vipi kuhusu viwanja
Utapeli unakujaje sasa!!?kwahiyo siruhusiwi kukosea ??nikishawai kujutaoeli!?wabongo tuache roho za kishenzi...nmesahau kuweka digits za mwisho tu!!
 
Back
Top Bottom