Bei elekezi ya sukari

Boeing

Senior Member
Apr 16, 2017
151
421
Wadau nakumbuka mh Raisi alitangaza bei elekezi ya Sukari kuwa ni 1800.

Huku nashangaa nauziwa 3000. Ndio bei au tunaibiwa huku?? Mheshimiwa raisi naomba utuokoe. otherwise naona hela yetu kama zimbabwe na ukizingatia mshahara haujaongezwa mwaka wa pili huu
 
Back
Top Bottom