Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,053
- 40,032
Habari za mwisho wa juma,
Salamu hizi zikufikie ndugu Behaviourist popote ulipo.....
Baada ya salamu hebu nieleze kinaga ubaga..... kulikoni wewe na Kasinde ambaye ni Kasie.. . Maana huishi kumtaja na kumzungumzia hata mahali ambapo hatakiwi.... nikisema hivi sio kuwa hutakiwi kumtaja bali umekuwa mchokozi bin mfukunyuzi....
Hebu pitia huko ulikomtaja Kasinde uone uchokozi wako.... halafu kama unataka kupata uhakika au uhalisia wa jambo la Kasinde wee mtaje Kasie hapo ntapata notification na kukupa uhalisia ila isipobidi nna haki ya kunyamaza kimya.
Hakuna ubaya ndugu tabia na tabia zako bali ni kuwekana sawa tuu, don't take it too personal.... its JF society we are living in....
Ever smiling Kasie.