Before 2011 ends what do u want from me

Before 2011 ends what do u want from me

haina shida hata akisoma kesho narusha li uzi la ma pm yote niliyotumiwa hapa
Sasa mbona haijafika, au ndo nisuburi mpaka December 31? Machale yananicheza mai fellow tablet atanipiku kwenye hili deal...
 
Sasa mbona haijafika, au ndo nisuburi mpaka December 31? Machale yananicheza mai fellow tablet atanipiku kwenye hili deal...
inadowload subiri
 
haina shida hata akisoma kesho narusha li uzi la ma pm yote niliyotumiwa hapa

Dah hapa nimeishiwa nguvu! Maana hizo PM zako nilizisoma jana nikgundua kuwa watu wamefanya Pm kama Facebook!
 
Mi nataka uje tanga, tule, tunywe, tucheke, twende out, turudi nyumbani usiku, tuongee hadi alfajir, alafu uondoke na kumbukumbu safi!
 
Back
Top Bottom