Bedroom ya Harmonize matusi matupu halafu baadaye walalamikie BASATA

Matusi ya nguoni yamezidi. .... im just imagining my little daughter aje aimbe kama rosareee... itaniuma saannnaaaa... si haki wala halali...unadhani baba yake rosaree anajisikiaje huko aliko akisikia mwanae anaimba "im gonna deep throat till I fucken choke"... dahh.. hapana aisee... huu wimbo ufungiwe.
 
Wengi humu mnachangia bila kusikiliza wimbo, kwakwel kipande alichoimba Billinas ni matus tupu

Bebi unapoikalia juu kama unataka kutaga

Unaibania kwa chini nikikalibia kumwaga

Umezoea kumwagiwa wazungu leo nakumwagia wachaga

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mond nyimbo zake zote matusi ila hamkuja na uzi humu jeje, aloimba na tanasha et embu chutama tuone kama inazama asubuhi niamshe na kimoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa ni wimbo wa diamond platinumz au wasafi
Hater's ungesikia Ooh Tangu harmonize atoke wasafi,diamond ameishiwa mashairi
Kwasababu ni harmonize basi wanasema Mashabiki wafuate mambo yao.
 
Matusi ya nguoni yamezidi. .... im just imagining my little daughter aje aimbe kama rosareee... itaniuma saannnaaaa... si haki wala halali...unadhani baba yake rosaree anajisikiaje huko aliko akisikia mwanae anaimba "im gonna deep throat till I fucken choke"... dahh.. hapana aisee... huu wimbo ufungiwe.
Huyo mtoto wako hata asipoimba bado atakuja ku deep throat untill she choke.... lol.
 
Nimeisikiliza hii nyimbo ya Harmonize na watu kibaoo matusi matupu yamejaa ni aibu hata kusikiliza na mtoto au mtu mnaeheshimiana.

Kwanini wasanii siku hizi wanaimba matusi namna hii? Wakifungiwa wanalalamikia BASATA lakini makosa ni yao wenyewe.
Mfano yani Rosaree anataja neno FUCKEN... kweli? Its not our culture.

Rai yangu, wasanii imbeni nyimbo zenye ujumbe kama zamani. Sio kila siku matusi tuu

Link ya wimbo

kwani umetukaniwa mamako...ukiona hujaulewa mziki ujue wewe sio mlengwa ndo maana kuna parental advisory.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom