Bed Cartography

Hahahahaahahaa Boflo umeniacha hoi....
hahaha ngoja wenye ndoa za kudumu waje wathibitishe maana lol
 
Last edited by a moderator:
siyo hivyo Kaunga it is only that unakuwa umetumia energy nyingi mno, so unatamani kupumzika... unajua kukumbatiana and what-not baada ya game nako kunachosha

Aah, aisee sikuwahi kufikiria hivyo. Thank for this important feedback!
 
Nyie mkishashusha mzigo tayari, lkn kwetu sisi intimacy inaendelea. If feels so good to sleep on hubby's chest!

Spacing is good for health bana....after having the session i want my space please japo viungo vwe free...au???
 
Ndio maana wengine tuna vile vitanda vya 3*6. . . .hamna cha space wala nini.

Inatakiwa kuwe na nafasi ili mpate hewa na kabaridi kaizidi ndo mnamuvuzishana tena kabbah......sasa kubanana mwanzo mwishoo.......aaanh labda kama betri ni la kuchaji na chaja ya kobe.............
 
OLESAIDIMU Kwani shida iko wapi? Yeye anapenda na mimi napenda. . . hizo space peaneni nyie mnaohitaji.
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU Kwani shida iko wapi? Yeye anapenda na mimi napenda. . . hizo space peaneni nyie mnaohitaji.
Shida iko hapa kwamba nyie wanawake on average mnaongoza kwa kuchakaza magodoro upande tunaolala sisi wanaume......hata kwenye 3*6 unayosema hamlali on top of the other ol nyt long.......bado tu you tresspass aaaargh.....yeye anapenda na wewe unapenda sawa ila wewe kila siku ndo unaenda kwa watu
 
Sisi hua tunajikuta pale katikati....
 
Back
Top Bottom