Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,140
Mimi nikikupenda, nakupenda the whole ov you, mwanaume ndiyo hupenda vipande vipande.!!Mimi mwenyewe haunipendi?[emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16] sawa binti yangu...nakupenda piaMimi nikikupenda, nakupenda the whole ov you, mwanaume ndiyo hupenda vipande vipande.!!
🙌🏾 As a result of her actions... names are tainted and tribes are stereotyped.....Its not just the private parts that suffer.
Her parents and the rest of the family suffers.
The society suffers too. As a result of her actions, diseases are spread, families are broken, names are tainted, tribes are stereotyped.....
It only just started with a single beautiful but dumb woman.
😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾 Si ndo hapo sasa, watu hawataki papuchi ifanye kazi yake iliyokusudiwa. Kama mdada bado ni kijana (18-39yrs of age) muache ale maisha.Zinasuffer kivipi tena wakati ndo kazi yake? Au mlitaka zitumikeje?
Umensoma?🙌🏾 As a result of her actions... names are tainted and tribes are stereotyped.....
It only just started with a single beautiful but dumb woman.
Nakusoma, Hususani hapo kwenye Tribes are Stereotyped..Umensoma?
Pamoja sana.Nakusoma, Hususani hapo kwenye Tribes are Stereotyped..
Tribe Stereotype zipo sana mtaani, Utasikia mtu anaambiwa "kijana usije ukaoa mdada wa Kabila fulani na fulani, UTAJUTA!!"
Kumbe ni Tabia Binafsi ya mtu tu haina uhusiano na Kabila hasa kwa Binti ambaye kakulia sehemu yenye mchanganyiko wa maKabila tofauti tofauti na mila tofauti.. Wahuni huwa wapo katika Makabila yote!
Ni tabia binafsi tu ya mtu ambayo IT ALL STARTED WITH A BEAUTIFUL DUMB GIRL.
Napendaga uandishi wako uko very systematic. Na una logics. Ukiandikaga kitu humu nikisoma natafakari "na huwa nasema eeh ni kweli aisee".
Eeh ndiyo ni Jamii ya dawa zinazo-suppress Mfumo wa Kati wa Fahamu (CNS) na kufanya mtu Asijitambue na kulala Usingizi fofofo, yaani hata umpige Kofi Zito la Uso hatashtuka hata umfinye tumbo hatashtuka pia!!Pamoja jana.
Hivi hii username yako Ni jina la dawa ? Sounds like medicine.
Why did you pick the particular name? Care to explain?Heh ndiyo ni Jamii ya dawa zinazo-suppress Mfumo wa Kati wa Fahamu (CNS) na kufanya mtu Asijitambue na kulala Usingizi fofofo, yaani hata umpige Kofi Zito la Uso hatashtuka hata umfinye tumbo hatashtuka pia!!
I picked the name in the first place simply because napenda Madawa (Medicinal Drugs) na napenda to explore the Central Nervous System na Nerves kiujumla (brain, spinal-cord & nerves) na Hormones (endocrine system) pia.Why did you pick the particular name? Care to explain?
You like to explore by trying the medicine? Or how do you like to explore?I picked the name in the first place simply because napenda Madawa (Medicinal Drugs) na napenda to explore the Central Nervous System na Nerves kiujumla (brain, spinal-cord & nerves) na Hormones (endocrine system) pia.
to explore in order to gain as much knowledge as possible about the Central Nervous System (CNS) and how to manipulate the CNS itself for medical purpose.You like to explore by trying the medicine? Or how do you like to explore?
And hopefully it's a guinea pig and not a human being!Or rather explore the patient after administering the medication!
Is this your career as in a research?to explore in order to gain as much knowledge as possible about the Central Nervous System (CNS) and how to manipulate the CNS itself for medical purpose.
Mambo ya Tranquilizers na Anesthesia (nusu kaputi) yote huwa ni mule mule tu katika ku-manipulate CNS.