Ha ha ha ..unajua unanikumbusha mbali sana mzee Mwiba.
Kipindi kile cha awali kuna mashindano fulani yakihusisha wasichana (kitaalam, walimbwende) kutoka sehemu zote Tz. Yule msichana kutoka ZnZ alipigwa stop na SMZ kushiriki.
Yule waziri wa SMZ aling'aka sana na mwishowe, huku akiwa amekabwa na jazba alisikika akisema, nanukuu, " huyu msichana kama ni mrembo mbona hajaolewa mpaka sasa sasa ?" Kwa maana nyengine kwa kigezo cha SMZ, hakuna mrembo ambaye hajaolewa..teh 😀 teh 😀 teh 😀
Kaazi kweli kweli..