Beautiful white City

Mimi ni mwafrika sana tu, lakini najiuliza kama Mungu angepanga originaly waafrika ndio waishi huko kwenye sehemu zenye barafu hivyo sijui ingekuwaje, nadhani vizingizio vya kutoendelea vingekuwa vingi kweli kweli.

labda tungewekwa huko ingekuwa afadhali zaidi .......
 
mmmmhhh haya bwana mimi bado napenda winter sana ...
kwa jinsi tu ilivyo si kila nchi au kila mtu duniani amepata bahati
ya kuona winter barafu kunyesha sana sana twaona tu mvua ya mawe...lolz..
mmhhh nilichokusoma ni wewe tu unaogopa baridi ... Na unapenda
zaidi summer ajili ya ma bikini , sijui volleyball in the beach lolz..
teh teh teh teh sio mbaya kabisa .......i .....

haha, naona wafagilia sana winter .............. mi siiogopi wala nini, tena nina kanuni kuwa hata iwe kali kiasi gani lazima nitoke nje na nizurure kidogo nje!!............... kuna watu hawatoki nje hata kwa wiki kadhaa hata msosi hupiga simu wanaletewa............ na shopping ya mambo mengine wanafanya kwenye net na wanaletewa na courier hadi mlangoni......... haha, yaani kuna watu wanaogopa hiyo kitu ni balaa............

ila hapo kwenye bold naona umenishika pabaya............. teh teh............... umegunduaje?.............. au sheikh wa mwembechai alikuachia mikoba??................ teh teh.................
 
haha, naona wafagilia sana winter .............. mi siiogopi wala nini, tena nina kanuni kuwa hata iwe kali kiasi gani lazima nitoke nje na nizurure kama saa moja hivi nje!!............... kuna watu hawatoki nje hata kwa wiki kadhaa hata msosi hupiga simu wanaletewa............ na shopping ya mambo mengine wanafanya kwenye net na wanaletewa na courier hadi mlangoni......... haha, yaani kuna watu wanaogopa hiyo kitu ni balaa............

hahahahahah lolz
basi hao watu wana matatizo ya akili kwa kweli ...
winter ndio muda wa riadha na kuji tayarisha kwa summer..
summer ikigonga tu wakwanzaa na bikini lolz
sio summer imegonga ndo waanza kuhangaika ,,mmmmhhhh
 
Dar es Salaam at Night

Tanzania1.jpg

hahahahahah lolz
basi hao watu wana matatizo ya akili kwa kweli ...
winter ndio muda wa riadha na kuji tayarisha kwa summer..
summer ikigonga tu wakwanzaa na bikini lolz
sio summer imegonga ndo waanza kuhangaika ,,mmmmhhhh

yap, na raha ya summer ni nguo laini, nyepesi, chache na zinazokupa nafasi ya hewa, ...............kwa kweli watu huwa kama wamepagawa na vinguo............... ukienda kwenye migahawa wakati wa summer unakuta watu wabafakamia ice cream kama wamerukwa akili na na totoz ikigeuka tu kidogo, mali zooooote nje!!.......... n they dont care!!............. huko beach ndo usiseme,.............. aagh, i love summer aisee!!..................
 
hahahaha lolz
haya bana ngoja jikuachie summer yako basi lolz... ;)
 
From Above:

solid black color tile.jpg

hahaaa!!................... kama sio juhudi zako nyerere....................... hata mtera inayotutunzia siri kwa miezi miwili tungeipata wapi??...............

ngereja hoyeeee......................., ccm juuuuuuuuu........................... richmonduli/dowans/symion, hoyeee..................
 
mi nimefikiri ni paradiso

Ha ha ha
Tusidanganyike na picha nzuri za winter.
Hapo ni balaa, nasema tena ni balaa na itakuwa -20deg.C hadi-40deg.c
Nashukuru picha imeonyesha hakuna mtu barabarani, kila mtu kajibanza nyumbani ili apate kajoto.
Mimi nimekaa mahali kama hapo na ndo nikajua Tanzania(na Afrika) jamani tumejaliwa na Mungu.Nchi yetu nzuri sana.
Pamoja na ongezeko la layer za nguo, msosi ni lazima uwe wa nguvu sana.
Nyumba nzima lazima ipashwe joto(heating) la sivo hakukaliki, hatimaye gharama za maisha wakati huo zinakuwa juu sana.
Mbaya zaidi ni giza la mchana, jua linatoka kwa masaa sita tu!Ukiwa na roho ndogo unatamani kurudi kwenu.
Asante Mungu kwa kutupa Tanzania.
 
tz yetu ina weather smooth sana ndio maana tumekuwa wazembe upstairs............. kama ingewezekana tungeazima weather kama hii japo kwa wiki mbili tuchangamshe akili kidogo................... teh tih...............
 
hahaaa!!................... kama sio juhudi zako nyerere....................... hata mtera inayotutunzia siri kwa miezi miwili tungeipata wapi??...............

ngereja hoyeeee......................., ccm juuuuuuuuu........................... richmonduli/dowans/symion, hoyeee..................

hahahahahh nawe una fujo kweli kweli lolz
asante lakini na huo wimbo umenikumbusha kipindi kile
cha msiba wa baba wa Taifa waliuimba sana ....
 
Vile vimuli muli vya mwanzo, ni wale jamaa wenye jenereta, sasa wese limekata, yaani kumekuwa totoroooooo. Ndio picha ya pili.

hahahahahahahah lohhh
we acha kunicheka embu lohhh
kumbe we unaongelea jenereta ..
mie nilidhani waongelea nyota hahahahahah lohhh
kazi kweli kweli ...
 
Ha ha ha
Tusidanganyike na picha nzuri za winter.
Hapo ni balaa, nasema tena ni balaa na itakuwa -20deg.C hadi-40deg.c
Nashukuru picha imeonyesha hakuna mtu barabarani, kila mtu kajibanza nyumbani ili apate kajoto.
Mimi nimekaa mahali kama hapo na ndo nikajua Tanzania(na Afrika) jamani tumejaliwa na Mungu.Nchi yetu nzuri sana.
Pamoja na ongezeko la layer za nguo, msosi ni lazima uwe wa nguvu sana.
Nyumba nzima lazima ipashwe joto(heating) la sivo hakukaliki, hatimaye gharama za maisha wakati huo zinakuwa juu sana.
Mbaya zaidi ni giza la mchana, jua linatoka kwa masaa sita tu!Ukiwa na roho ndogo unatamani kurudi kwenu.
Asante Mungu kwa kutupa Tanzania.

mmmhh jamani we embu acha kuwatisha wenzio
TZ kuna raha yake na hapo kuna Raha sana yaani...
 
ur welcome afrod........... summer is good, and you'll like it................. n everybody will like you...............your avatar says it all..............

Winter is good..
and is much easy to exercise .......... I like winter sports too... :)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom