Beautiful white City

Beautiful white City

Your post are one of the greatest

i can't find one word to describe your photo's....
(brilliant, Talented,Imaginative,Creative,stunning,superb.........)

cheers
AD
 
Mji wa watu wenye akili, kama unabisha waturuhusu tubadilishane nao. Sisi Wabongo wote tuhamie huko kwa kubeba chochote tutakachoweza kubeba twende nacho huko na wao waje mikono mitupu, kisha tutembeleane baada ya miaka 10 wapi watakuwa wako juu!
 
hawa wanaoishi huku nadhani wana characteristics za bears kwa jinsi snow zilivyo nyingi..

hahahahahah imenibidi ncheke looohh wewe
ila winter huwa zinaenda kwa muda wa miezi mitatu minne mpaka mitano..
si mwaka mzima na wana pata spring, autumn, na summer ..

mmmhh eti bear..🙂
 
Mji wa watu wenye akili, kama unabisha waturuhusu tubadilishane nao. Sisi Wabongo wote tuhamie huko kwa kubeba chochote tutakachoweza kubeba twende nacho huko na wao waje mikono mitupu, kisha tutembeleane baada ya miaka 10 wapi watakuwa wako juu!

mmmhhh usituweke chini kiasi hicho basi Anko...
 
Back
Top Bottom