Angalia Ramani nimekwambia hiyo Cabinda imezungukwa na DRC pamoja na bahari ya Atlantic unachotaka kubisha nn? Uwe unaelewa acha kukurupuka dogo
Asante kwa hili neno........analeta uswahili hapaMafuta kitu gani Kuna nchi ina rasilimali kama Tanzania ukiacha South africa na dRC..????[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tz yako haina nini kwa mfano mn kila takataka lakin maisha holla
..Sawa Tumeona kijijini Sweden ulaya Lkn sisi tunaongelea Angola Afrika....au ulitaka tujue unaishi Sweden Ulaya...Haya basi tumejua!angalia kijijini sweden
..Yaani amekariri tu Siasa,Uswahili,GDP,maendeleo.....ujinga huu sijui utatuisha lini watanzania wenzangu....Mtu umewekewa picha kwa ajili ya Utalii anaanza kutapika maneno cjui ili aonekane anajua saaana kuliko wengine....Lkn wanaojua wanamuona mjinga tu...Dada asante kwa kutuburudisha kwa Picha zenye mandhali nzuri nchini Angola.....Siyo kila kitu siasa na kupiga domo na ujuaji kimba tuHizi takwimu mpelekee magufuri sie wengine tulienda kutembea ndio maana tumetuma picha hizo tu bila maelezo meeengi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usipaniki hizo $ kadhaa wenzio tulijipiga piga tukaenda kutumia tuone kuna nini mpaka kuwe na gharama hivo
Mkuu. Hapo hakuna jengo la expansion joints...Hebu dar yetu iwekwe hapa tupime, maana kuna apartment naziona hapo hazina ubora kama za kinyama.
Niko Manzese, humu kuna ID fake sasa nitatakaje wakati ID yangu ni fake. Think deep..Sawa Tumeona kijijini Sweden ulaya Lkn sisi tunaongelea Angola Afrika....au ulitaka tujue unaishi Sweden Ulaya...Haya basi tumejua!
Ungekuwa unathink deep usingetoka nje ya kitu kinachozungumziwa...Think wisely!!Niko Manzese, humu kuna ID fake sasa nitatakaje wakati ID yangu ni fake. Think deep
..Yaani amekariri tu Siasa,Uswahili,GDP,maendeleo.....ujinga huu sijui utatuisha lini watanzania wenzangu....Mtu umewekewa picha kwa ajili ya Utalii anaanza kutapika maneno cjui ili aonekane anajua saaana kuliko wengine....Lkn wanaojua wanamuona mjinga tu...Dada asante kwa kutuburudisha kwa Picha zenye mandhali nzuri nchini Angola.....Siyo kila kitu siasa na kupiga domo na ujuaji kimba tu
Rubbish!Ungekuwa unathink deep usingetoka nje ya kitu kinachozungumziwa...Think wisely!!
...Eti kila kitu Siasa tu!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaenda Ku google GDP soon ataleta picha wa aangola wamekula nin jana mana waswahili kwa Umbea ni balaa.
Panavutia
Ngoja nipneshe nia ya kwenda huko.. nione kama kuna mkaka humu JF atanipa zawadi niende nikajilie raha na anipe ofa niende na shosti mmoja ili tufurahie..
Eeeeeeh
Kama huna cha kutolea baraka pita hukoooo
Nyie yakwenu yamejaa expansion joint
Hahaha... mbona unajihami saana comrade?..Sawa Tumeona kijijini Sweden ulaya Lkn sisi tunaongelea Angola Afrika....au ulitaka tujue unaishi Sweden Ulaya...Haya basi tumejua!
kigoma ujiji ni nchi?Angola haikustaili iwe hapo ilipo sasa hivi, hiyo nchi inamafuta lakini raia wake ni maskini wa kutupwa,
Kiufupi mazingira ya hiyo nchi haijaizidi Dar ya Makonda, jaman muwe mnatembea msidanganyike na picha..
Rais wa kwanza wa Angola rais José Eduardo dos Santos ndiyo aliyekuwa anajimilikisha rasilimali za Angola huko akimlimbikizia mali mtoto wake wa kwanza Isabel Dos Santos..
Maisha ya raia wa huko ni bora ya raia wa kigoma ujiji