Lengo langu ni kuwa hiyo ya Angola ni upuuzi kama vijijini watu wanapukutika majivu. Hicho ni kijiji cha sweden, kijijini. na Angola ingelikuwa hivyo vijijini mbona tungelishangilia!Hiyo ni Sweden ya Angola au ulaya. Usije ukawa unafananisha bombardier na airbus
Unaweza kuwa na nchi ina miundombinu mizuri sana mjini, halafu hapo mjini maisha ni ghalisana kiasi Waafrika wazawa wa kawaida hawawezikuishi, wanaishinje yamji huko kwenye nyumba mbovu na miundombinu mibovu.Bongo ni mwendo wa chuki na visasi. Maana halisi ni kuona namna wenzetu walivyoboresha miundombinu na si maisha ya mtu mmoja mmoja. Anataka kuona mtu mweusi anaishije. Ina maana hiyo miundombinu haimsaidii. Nyumbu ni Nyumbu
Heading ya thread umeikumbuka sasa baada ya kuona umeshindwa kutetea habari uliyotaka kuaminisha watu kwamba unaongelea fact na si fantasy?Soma heading ya Thread hii naona umejaa upepo kwa compresser,Vitu vya kawaida umevi complicate nimepost tu hizo picha kuna watu wameona wamepita muwe mnajifunza kusoma na kuelewa kwa haraka.
Kwani umeambiwa hii battle kati ya Dar yako na Angola?Hebu dar yetu iwekwe hapa tupime, maana kuna apartment naziona hapo hazina ubora kama za kinyama.
Ulaya hakuna neno village/kijiji wao wanaita mashambani na matajiri wengi ni wakulima tofauti na Afrika mabapo maskini wengi ni wakulima naomba tujisahihishe kiukweli Luanda maisha yake yapo ghali sanaHiyo ni Sweden ya Angola au ulaya. Usije ukawa unafananisha bombardier na airbus
Huyo ni upuuzi sana anataka siasa kila sehemuMbona umejaa upepo ka Puto linajazwa na Compressor nan kasema alienda kupiga picha maisha ya watu..???
Angalia Ramani nimekwambia hiyo Cabinda imezungukwa na DRC pamoja na bahari ya Atlantic unachotaka kubisha nn? Uwe unaelewa acha kukurupuka dogokama ni Cabinda hii basi iko angola na hyo bendera wanapeperusha itakua ya ACT-wazalendo.
Heading ya thread umeikumbuka sasa baada ya kuona umeshindwa kutetea habari uliyotaka kuaminisha watu kwamba unaongelea fact na si fantasy?
Kwani umeambiwa hii battle kati ya Dar yako na Angola?
Wewe unafikiri kwa kuwa ulipo wewe kuna foleni kila mtu alipo kuna foleni tu.Kama uko kwenye foleni skiza music ila siwez endelea kukupa kampan hapa Jf unaachoona nimetuma heading inajielezea ndio mana kule juu nilisema sijaja kufanya comparison yoyote. Na kitu chochote
Lengo langu ni kuwa hiyo ya Angola ni upuuzi kama vijijini watu wanapukutika majivu. Hicho ni kijiji cha sweden, kijijini. na Angola ingelikuwa hivyo vijijini mbona tungelishangilia!
Kusema kweli nilipoona thread yako katika hili jukwaa moyo ukafanya 'paaah' nkajua kama kawa.Pole saana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tunapukutika chawa! lakini tunajenga airport kijijiniKwenu masumbwe Geita misigiri Tanangozi huko vepeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweza kuwa na nchi ina miundombinu mizuri sana mjini, halafu hapo mjini maisha ni ghalisana kiasi Waafrika wazawa wa kawaida hawawezikuishi, wanaishinje yamji huko kwenye nyumba mbovu na miundombinu mibovu.
Sisemi kwamba Angolaipo hivyo, ilainaweza kuwa hivyo.
Nchi ambayoina maghorofa mazuri, lakini wanakaawazungu na waafrika wachache sana,barabara nzuri, lakinimagari wanaendesha wachache wenye hela.
Hii ni genuine concern, kwa hiyoswali hili si la kupuuzwa.
Maendeleo yanatakiwakunufaisha watu wengi, si wachache. Sasaswali limejikitakwenye kutaka kujua ukweli, huu ulimbwende wa Angola unanufaisha wengi?
Au kuna sehemuwatu weusi hata kufika hawafiki kwa sababu ya ubaguzi wa kiuchumi?
Nchi yenye maendeleo haiwezikuwa na GDP per capita ya $3600, tena hiyo imepandishwa na wenye hela wachache ,kiuhalisia ipo chini ya $2500.
Sasa mtu mwenye hii GDP per capita halafu anaishi mji wa gharama za kutumia hiyo hela kwa wiki moja tu atafurahia vipi matanuzi ya mji wake mwenyewe?
Inabidi aende kuishi madongokuinama tu awe anaangalia mji wake mwenyewe kama anavyoangalia Ulaya vile.