Jestkilla
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 2,999
- 3,961
Hapo kuna jimbo linaitwa Cabinda hapakaliki
Leta picha za maisha ya Waangola weusi kama mimi, na siyo mapicha ya maghorofa, hayo hata Bongo yapo, nataka kuona maisha ya Waangola weusi!
Mbona umejaa upepo ka Puto linajazwa na Compressor nan kasema alienda kupiga picha maisha ya watu..???
Hebu dar yetu iwekwe hapa tupime, maana kuna apartment naziona hapo hazina ubora kama za kinyama.
Hata wajanja wasiotaka kupigwa wanaweza kugwaya.Na ndio maana huwezi kukuta wajinga wajinga wameenda ule mji![]()
Wajinga hadi mwaka huu uishe tutaambiwa mengi walai.Na ndio maana huwezi kukuta wajinga wajinga wameenda ule mji![]()