Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,797
Huyu ni opportunist tu.Yaani nampongeza sana huyu mbunge kwa alivyoamua kuongea ukweli pale bungeni Dododma kwa masilahii ya Taifa.
Njoo hapa Kibaha Mailimoja nikufunde na nikupe siri nyingi za kupambana na hao mafisadi papa ! Karibu sana !
Yaani nampongeza sana huyu mbunge kwa alivyoamua kuongea ukweli pale bungeni Dododma kwa masilahii ya Taifa.
Njoo hapa Kibaha Mailimoja nikufunde na nikupe siri nyingi za kupambana na hao mafisadi papa ! Karibu sana !
Kwani huyu mama alikuwa na zaidi ya hiyo barua ya Jairo?wanajaribu kumfunga mdomo tu-ila wajue hawataweza
Hamna lolote hapo. Kajiandikia mwenyewe ili apate watu kwenye maandamano yake na Lowassa.
Hiyo habari ya Bahasha hata Mnyika alikuwa nayo kitamo ila yeye alipata barua tu na kusoma ambacho tulishasikia.
Mkutano wenyewe naambiwa kuna uwezekano mkubwa Lowassa akawa mgeni RASMI. Mtu aliyesaidia kuleta RICHMONDULI badala ya kuleta umeme wa kuaminika na leo ni giza.
.