Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Ritz, embu lielekeze hili swali kwa ndugu Said usikie jibu lake. NI swali rahisi sana kujibiwa.
There are many more people who can narrate a similar type of suffering under different circumstances. Your story does not tell us why the students managed to pass with Division One at O level. Was it because they were Christians or were taught in Islamic schools and the the headmaster was a Muslim? This person has decided to analyse everything using the lens of religion. Some students could analyse using the lens of witchcraft, gender, tribalism, political affiliation, etc. I went to school with some people who blamed their failure in school and life on someone else but nothing about themselves.
This person goes on to perform badly in life after school apparently because he was in a Mfumo Kristo. But there are many Christians who have a similar experience, whom should they blame? There are many Muslims who have done very well, what happened?
As for Prof. Njozi, I know what he stands for. He is a person I have interacted with many times but not in religious discussions. The government gave him to head the Morogoro Muslim University but my dear friend turned it into a Madrasa, again reflecting who he is.
Sheikh Mohammed Said, huyo Njozi nimeshamsoma vizuri tu kwenye mahandishi yake ni tabia zile zile kulialia na iman yake akisema 'tunaonewa'.
Licha ya kumsoma nimemshudia utendaji wake wa kazi nilipofanya ziara chuo kikuu cha kiislamu Morogoro kihonda, ni aibu sana mtu aliyepiga kelele dunia yote kwamba waislamu wanaonewa kwenye elimu kakabidhiwa chuo chenye raslimali zote na sasa kinamfia mikononi. Ama kweli mchawi mpe mwana alee.
Hapa kulinda heshima yenu ni vyema ungejikita kwenye kumjibu Profesa ungekuwa umefanya la maana sana sababu unapoanza kukimbia 'kidizain' inaonyesha ni kiasi gani uongo uliojaribu kuupandikiza kwa wenzako umeanza kukutafuna huku ukitazama. Lakini sisi tulikuonya siku nyingi ipo siku utaumbuka hukutaka kutusikia ukawa unainjoi kelele za wasiojielewa.
Mswiba mkubwa huu.
Ame, yaani huyu watu wanasumbuka sana. Lengo lake ilikuwa ni kwa ajili ya wazee wake. Kosa lake jina la hilo kitabu kuwa kiujumla, a nation without heroes halafu yeye heroes ni wazee wake tu. Hapa amewavutia wengi. Pengine bila hilo jina leo tusinge jadili haya.
Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides
by Prof. Karim Hirji
Hypothetical Secondary School Enrolment Data At Uhuru – 1961
[TABLE="width: 492"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="width: 394, colspan: 3"] At Uhuru – 1961[/TD]
[TD="width: 3"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"]In School[/TD]
[TD="width: 131"]Muslim[/TD]
[TD="width: 132"]Christian[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"]Total[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"] Yes[/TD]
[TD="width: 131"] 200 (1%)[/TD]
[TD="width: 132"] 800 (4%)[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"] 1,000 (2.5%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"] No[/TD]
[TD="width: 131"]19,800 (99%)[/TD]
[TD="width: 132"]19,200 (96%)[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"]39,000 (97.5%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"]Total[/TD]
[TD="width: 131"]20,000 (100%)[/TD]
[TD="width: 132"]20,000 (100%)[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"]40,000 (100%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"][/TD]
[TD="width: 394, colspan: 3"]A Decade Later – 1971[/TD]
[TD="width: 3"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"] Yes[/TD]
[TD="width: 131"] 4,000 (13%)[/TD]
[TD="width: 132"] 6,000 (20%)[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"]10,000 (17%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"] No[/TD]
[TD="width: 131"]26,000 (87%)[/TD]
[TD="width: 132"]24,000 (80%)[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"]50,000 (83%)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 95"] Total[/TD]
[TD="width: 131"]30,000 (100%)[/TD]
[TD="width: 132"]30,000 (100%)[/TD]
[TD="width: 134, colspan: 2"]60,000 (100%)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
This table shows hypothetical secondary school enrolment by religion at two time points, Uhuru and ten years later. Four people interpreted the data.
Muslim Zealot: There is no equality ten years after Uhuru. Christians occupy 60% of the school places. We still face discrimination. The Christia dominated government is against us.
Christian Zealot: Why are the Muslims making a fuss? After all, we used to have 80% of the school places. That was the result of our own effort to build schools. The government took away our schools and gave Muslims a chance. Why do they not build schools of their own?
Racist Cynic: In 1961, 39,000 children were not in school. Ten years later, 50,000 children are not in school! Africans cannot rule themselves; colonialism was better.
Secular Analyst: In 1961, 99% of the Muslim and 96% of the Christian children did not go to school. Overall, only 2.5% were in school. Ten years later, school enrolment rate was about 17%. Among Muslims, it went up.
Karim Hirji is a retired Professor of Medical Statistics and a long-time writer on social, political and educational issues in Tanzania.
kajibu hilo swali mwisho kwa kutaja status yake na pia katoa sababu ya kwa nini anadhani kuwa itakuwa si sahihi
kumbuka kuhusu uchache wa wasomi wakati tunapata uhuru na ni kwa kiasi gani UDSM walijitahidi kwa wakati huo
issue ya Kitwana Kondo kusema 1999 wanafunzi waislam walikuwa 71% na wakristo plus wengineo 29% ni uongo. Kama Pinda tu anadanganya bungeni iwe Kondo?
Professor anapojibu "Paper" iliyoenda shule kwa "hypothetical" data, halafu bado tunashangilia.
Professor Hirji kukiri tu kuwa hizo ni "hypothetical...Data..." ni kuwa amekiri kuwa data zake ni za ni kufikirika, jee na hao "Four people interpreted the data." ni akina nani zaidi ya wakufikirika?
Ikiwa hawa ndiyo ma Professor wetu hao wanafunzi sijui wakoje?
Sasa nnaamini kabisa kuwa wanafunzi wa Professor kama huyu wanakwenda kusomea ujinga.
Ritz,
Unajuwa mwanakijiji hao amepotoka kama si imempuruchuka kwani anaongozwa na hisia za CHUKI na ushabiki wa KIDINI.
Ikumbukwe kuwa WASOMI siku zote tunajadili DALILI (Facts) tu na si bla bla.
Unapoona mtu amefanya tafiti na kuja na chapisho la tafiti hiyo au hata Kuandika kitabu kutokana na tafiti yake basi WASOMI tunakaa chini kuusoma na kuupitia kwa kina Paper au Kitabu hicho KWA NIA ya kukielewa bila kuweka mbele hisia au chuki. Na unapogundua kuna MUSHKIRA basi na wewe kama MSOMI unaandika au unatoa PAPER ay KITABU chako kupingana na kile kilichoandika mwanzo.
Au njia nyingine tunayotumia WASOMI na kuandika mapungufu ya Kitabu au Paper ile na kuweka masahihisho yako na kumpelekea mwandishi wa Kitabu au paper ile ILI ABORESHE zaidi mle ulipoona wewe kuna mashimo. Na hizo ndio tunaita REVIEW (Marejeo).
Hizo ni njia mbili kuu tunazotumia wasomi woooote Duniya nzima katika kuboresha au kupinga maandiko ya msomi mwenzako.
Nje ya njia hizo mbili basi inakuwa ni propaganda na manung'uniko tu yasiyo na tija jamii .
Mimi naamini Mwanakijiji ambaye niahisi ni Mwaandishi wa habari (sina uhakika kama ana taaluma hiyo lakin mara nyingi namuona akiandika makala mbalimbali katika magazeti huko Tanzania kama Tz daima) anajua athari za kuona uongo na kuufumbia macho. Kwana kwa mujibu wa kazi hiyo ambayo siku zote NIA yake ni kuihabarisha jamii na Kuielimisha jamii ata kuwa hakuitendea haki jamii kama alivyodai kaona Mohamed said ameandika ndivyo sivyo basi yeye alikuwa na wajibu wa kuandika ukweli pale alipoonda yeye pamekosewa.
Kwani suala la kupata habari sahihi ni haki ya kila mtu na jamii kijumla. Na siku zote FASIHI ANDISHI inapingwa kwa FASIHI andishi na si kwa maneno.
Ameonyesha udhaifu mkubwa sana kwa jamii ambayo mara nyingi anaihabarisha na kuiilimisha kupitia katika magazeti.
Binafsi nampa pole sana.
professor anapojibu "paper" iliyoenda shule kwa "hypothetical" data, halafu bado tunashangilia.
Professor hirji kukiri tu kuwa hizo ni "hypothetical...data..." ni kuwa amekiri kuwa data zake ni za ni kufikirika, jee na hao "four people interpreted the data." ni akina nani zaidi ya wakufikirika?
ikiwa hawa ndiyo ma professor wetu hao wanafunzi sijui wakoje?
Sasa nnaamini kabisa kuwa wanafunzi wa professor kama huyu wanakwenda kusomea ujinga.
There is nothing resembling an opportunist in what Prof. Hirji has written. The facts are so obvious for anybody to see. We better agree not to agree on that!
Prof Hirji, kama unafuatilia huu mnakasha somo hapa chini kiduchu.
Jan P van Bergen katika kitabu chake,-Development and Religion in Tanzania,-(1981) ametoboa siri kuhusu uadui aliokuwa nao Nyerere dhidi ya Uislamu na Waislamu.Kitabu kinaeleza kwa ufasaha jinsi Nyerere wakati alipokuwa madarakani alivyokuwa akifanya mikutano ya siri na viongozi wa Kanisa kuweka mikakati ya kuupa nguvu Ukristo.
Katika mikutano hiyo Nyerere aliwahakikishia viongozi wa Kanisa kuwa anaaunga mkono Ukristo.Kitabu hicho kinaeleza jinsi Nyerere alivyotimiza ahadi yake hiyo kwa Kanisa kwa kuhakikisha kuwa anawapa Wakristo nafasi za juu katika serikali na chama.Kitabu hiki kilikuwa kikiuzwa-Catholic Bookshop, Dar es Salaam. Lakini ilipokuja kudhihirikia Kanisa kuwa kitabu hiki kilikuwa kinatoa habari nyeti na siri za Kanisa kuhusu njama dhidi ya Waislam, kwa haraka sana kikaacha kuuzwa. Hadi hivi sasa kitabu hicho ni marufuku kuletwa tena Tanzania.Kitabu cha pili ni cha Dr John C. Sivalon,-Kanisa Katoliki na Siasa ya Tanzania Bara 1953 Hadi 1985-(1992).
Kitabu hiki kinaeleza njama ndani ya serikali kuuhujumu Uislam. Sivalon anafichua kuwa kuanzia mwaka 1961 baada ya Tanganyika kupata uhuru, Kanisa lilikuwa na hofu mbili. Hofu ya kwanza ilikuwa umoja wa madhehebu za Kiislamu kati ya Sunni, Bohora, Ismailia na Ithnasheri. Hofu ya pili ilikuwa kuhamishwa kwa makao makuu ya EAMWS kutoka Mombasa kuja Dar es Salaam. Kanisa lilikuwa linahofu kuwa mali walizokuwanazo Waasia Waislamu zikitiwa katika shughuli za Waislamu ambao walikuwa na nguvu kubwa katika uwanja wa siasa zitaathiri maslahi ya Ukatoliki katika Afrika ya Mashariki.
Kwa ajili hii Kanisa likatanganza kuwa Uislamu ni adui wake na ikaanza mikakati ya hujma dhidi ya Uislamu ili kuudhoofisha.
why would he write something which is not there?
Hyo mzee karim hirji ni jembe haswaaaaa kamuumbua mzee Mohamed masaid aka hasidi
You dare call "Hypothetical...Data" "The fact"?
Pity.
Unataka tuwasome watu wanao taka kutumia dini ya kiislamu kuficha udhaifu wao na kutafuta utukufu? Kitwana Kondo ni mmoja wa trustees wa Morogoro Muslim University mbona chuo kinawafia mikononi? Achana na wendawazimu wako wa kuwagawa Watanzania.
The facts are not referring to the hypothetical data, rather various examples the Prof. has given. The omission of heroes is not a Tanzanian phenomenon. It seems to have affected a good number of countries.
hadi sasa hajajibu hoja zaidi ya kuweka malalamiko zaidi! Mara Mwembechai, mara Kitwana Kondo, namsubiri tu
Wafuasi wa Mohamed Said wapo kwenye DENIAL.
Hawataki kukubali kuwa alichowaaminisha, kilikuwa well calculated ili kuhamasisha chuki ya waislam kwa wasio waislam, na kwamba simulizi zake sio "whole truth". Moh Said alikuwa na conclusions zake kwanza, halafu akatafutiza data za ku-support conclusions zake. Mtafiti yeyote anayetumia approach hii, mara nyingi, ata-ignore data ambazo haziendani na conclusions zake na hatazi-present. Unfortunately, hata baadhi ya anachoita ni data (zinazosupport mtazamo wake) ni stories za kufikirika tu.