Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 22,464
- 32,991
Nadhani chapisho kukubalika inategemea malengo ya publisher vilevile mengine yakiwa nje ya kusudi la mwandishi....Pengine reviewer akaona inavutia wasomaji wengi na kusababisha debate kubwa na kwajinsi hiyo ni worthy for it to be published!
Lakini swali langu ni objective ya wewe kuiandika hiyo history upya nini? Ku promote hiyo category ya waleta uhuru, kuleta umoja wa kitaifa ama ku create academic debates? Ama ni for personal benefits, kama academic recognition, kutetea imani ama tu ni kufurahia religious debates?
Ame,
Lengo langu lilikuwa kuandika historia ya wazee wangu na mchango wao
katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.