Ritz,
Huyu Nguruvi hajui kilitokea nini baada ya utafiti ule kugawiwa kwa kila
Muislam Tanzania.
Serikali haikusema kuwa sisi ni waongo au sijui "selective sampling," na
nini sijui.
Serikali ilipata mshtuko na wakataka kujua ni akina nani wamefanya haya.
Sisi tulikuwa tumesema kweli na tulikuwa sasa tunatafuta msaada wa umma
tujitoe katika dhulma ile.
Hii ilikuwa mwaka 1981 na baadhi ya makaratasi haya yaligawiwa kwenye
viwanja vya Bunge Karimjee Hall.
Waliochaguliwa kuingia Dar es Salaam University 1985 hadi 1990[/B]
Year Christians Muslims
1985/86 85% 15%
1986/87 84% 16%
1988/89 82% 18%
1989/90 82% 18%
Watendaji Wizara ya Elimu 1987
Muslim Commissioners 1 Christian Commissioners 7
Muslim Directors 6 Christian Directors 31
Serikali 1987
Muslims Christians
Ministers 4 16
Deputy Ministers 4 7
Principal Secretaries 2 16
Regional Commissioners 5 15
District Commissioners 8 113
Inasemekana hivi sasa ndani ya Bunge Wakatoliki wanahodhi 85% ya viti na hiyo 15% imeachiwa Wakristo wa madhehebu mengine na Waislam.
Mohamed Said
Table 2
Religious Distribution University of Dar es Salaam 1971/72-1973/74
Year Muslim % Non-Muslim % Total
1969/70 17 83 100
*1970/71 - - -
1971/72 13 87 100
1972/73 14 86 100
1973/74 13 87 100
*1974/75 - - -
1975/76 15 85 100
*1976/77 - - -
*1977/78 - - -
1978/79 14 86 100
**1979/80 14 86 100
**1980/81 11 89 100
**1981/82 16 84 100
* Official Statistics not available
** Students selected for Faculty of Agriculture, Forestry and Veterinary Science and medicine not included.
Source: 1969/70-1978/79 University of Dar es Salaam Students Directory.
1979/80-1981/82 Daily News June 1979/1981
My take: Mohamed ulikimbia ukidhani nimeondoka,haya takwimu zako hizo hapo juu, tunaomba mchanganuo ili tujue zinaleta maana gani. Kwa jinsi zilivyo sasa hivi ni kichekesho kama si aibu, zikwamue kwanza kabla hujaandika lolote kihusiana nazo
Tusaidie kufafanua nini kimeleta mshtuko kwa kuangalia hizo takwimu, na zimeeleza nini hasa
Tupe sample size, limitation, exclusion n.k. ili tubaini sehemu nilizokazia uzi mwekundu
Hebu zichambue hizo takwiu 12 zilizokupa conlcusion ili tuone ulifikiaje conclusion hiyo kwa kutumia data hizoQUOTE=Punjab
Singh;12017904]What is wrong with you
Nguruvi3 you have your answers in the quoted note. The 2 sources:
1) UDSM Student Directory (Not Mr. Said's own data)
2) Daily News wich is the Government owened tool of propagation.
So why should he explain to you go to those sources and confirm if he is cooking the data or not?
Get serious, it seems the Panya Buku did not damage kabrashas only teh teh teh!
Mohamed and team, msitake kuficha uvundo kwa kupulizia perfume
Kwanza, sikuhoji kuhusu vyanzo vyake.
Nilichokifanya ni kuonyesha maeneo yanayohiataji fikra kwa mtu anayeamini na kujua utafiti maana yake nini, unakusudia nini, unafanyika vipi na unatoa majibu kwa njia gani.
Kwa mfano,
Hivi 'inasemekana' linaweza kuwa neno la mtafiti na la kiutafiti
Pili, hivi Mohamed anawezaje kupata data za maelfu ya watu UDSM ashindwe kupata data za wabunge 300 hadi aseme inasemekana
Tatu, kama tutakubaliana na 'inasemekana, hivi wakatoliki si Wakristo na kwanini wawe kundi jingine na kusiwe na Shia, Ismailia, kadiani n.k. katika makundi tofauti ya waislam
Nne, kama tutakubali chanzo ni UDSM , je hiyo miaka iliyorukwa haikuwa na usajili UDSM na kwanini.
Conclusion inawezaje kufikiwa tukiwa na data ambazo hazijitoshelezi, hazijielezi na wala hazielezeki
Tano,Mohamed kasema hizi si 'official statistics''
a)je kuna tofauti gani na neno hypothetical alilotumia prof Hiriji na kwanini iwe nongwa kwa Prof na si Mohamed
b)Mohamed anawezaje kufikia hitimisho kwa kutumia data zisizo official na kusema huo ni utafiti
Sita, Kwanini utafiti wake haukwenda kufanyika katika faculty za Agriculture, Vertenary medicine na Medicine.
Je, huko hali ikoje na sababu gani zilizopekea yeye kutokwenda huko, ikiwa hitimisho lake ni takwimu za UDSM kwa ujumla
Saba, Punjab kasema Daily news ni propaganda machine ya serikali.
Kama ni hivyo, Mohamed anawezaje kwenda kuchukua data kutoka chanzo ambacho ni propaganda?
Je, mtu anaweza kuchukua takwimu za kisomi kutoka gazeti la Uwazi, Risasi Jumamosi, Tanzania Daima au Nipashe, akazifanyia kazi na kutoa hitimisho la kisomi?
Mwisho, napenda mjadili takwimu za Mohamed, msinijadili mimi kwasababu kilichopo mbele ni takwimu za Mohamed alizoziita tafiti.
Mohamed aje akanushe kuwa takwimu hizo si zake, na wala msinishambulie kwa kuweka takwimu zake.
By the way yeye anakubali kuwa walizitoa ili watu waone, ninyi mnataka chanzo gani kutoka kwangu ikiwa chanzo kimekubali