Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

nikifuata historia ya makuzi yangu nadhani tatizo la udini lilianza baada ya ideology ya ujamaa kupotea kama dira ya maisha ya watanzania, mimi kwa maisha yangu ya ukuzi sikutegemea kama kutatokea Chembe cha matukano kwa nyerere au wakristo, na hii Ndiyo iliyotufanya sisi wakristo wengi tusiandike historia yetu , tofauti na ndugu zetu Waisilamu wao waliweka yao kificho na inda kubwa, ili kuwa rahisi sana miaka ile kuongea na Mzee rupia, mungu amrehemu, Mtoto wake albano mungu amrehemu, mama na Wazee wengi wa mission quarter , wazeee wa quarter za railways ambao walishiriki sana kukamilisha na kigombania uhuru huu. Lakini nadhani Muda upo lakini naelewa response ya wenzetu itakuwa jee , miaka ile kama tungejua tusinge kuwa tunashinda kusheza korokoro Shule ya uhuru Bali makanisani tukinukuu historia, tumefundishwa Inda na lazima tujifunze
 
tex litter , Fernando sancho na guliano gema
 
tex litter , Fernando sancho na guliano gema
Sadoliki,
Texi Ritter huyu alikuwan mbabe wa senema za bure.

Fernando Sancho na Guliano Gema hawa walikuwa wanakuja kwenye senema
za kawaida kama vile Empire, Avalon nk.

Hawa akina Sancho walikuwa walikuwa actors katika Westerns lakini si za
Hollywood ambazo Wamerekani kwa wivu wao wakazikebehi na kuziita
Italian Spaghetti.

Zipo hizi spaghetti kama "The Good The Bad and the Ugly," (Clint Eastwood)
zilikuwa nzuri na hivi sasa ni classics.

Ipo kwenye maktaba yangu.
Siku nikifurahi naitazama.

Lakini yote hawa yanatukumbusha mbali katika siku za utoto wetu.
 
Hakuna takwimu ninazochukua pembeni. Zote zimetoka kwenye mada. paper n.k. za Mohamed Said , tafadhali usinizingizie mimi sijapeleka data Oxford. Wala sitaki 'kuibia' ni tawimu za Mohamed, ni kazi ya kitaaluma hii kaifanya kwa jasho lake.

Nguruvi3,
Sitanii hasad ni gonjwa baya sana la moyo.
Linaweza likakutoa roho.

Nimekutahadharisha mara nyingi sana.
Oxford imekukwama kama mwiba wa kolekole.

Sasa ili upaliwe zaidi nakuwekea nyingine nzito zaidi.
Ona hapo chini:



Nguruvi3,
Nimekuahidi kila unatakapoleta haya mambo yako ya choyo, hasad na
nini kudhani kuwa unaweza ukanikebehi basi nami nitakupiga na bakora
kama hizi.

Remember I told you I have always been a winner.
Alhamdulilah.

Iliyopita ilikuwa UN Geneva.
Hii ni Capitol Hill Washington DC.
 
Mohamed Said, ahsante kwa habari za filamu.

Sasa turudikwenye maongezi yetu, zile data zako za mbandiko ya nyuma umeziona?
Wanajamvi wanasubiri kauli yako

Mohame, Vijana wako wanauliza kama kweli haya nimaandishi na takwimu zako au ninapika.

Naomba uwathibitishie kuwa ni yako maana unajua ni yako.

Ukihiyari niwathibitishie, litakuwa tatizo zaidi. Ngoja tumalize hili la takwimu

Wanajamvi, ahadi ni deni. Jana niliahidi tukijaaliw aasubuh nitawapa data zaidi za Al akly Mohamed Said Salum Mwekapopo Semtungo.Hapa chini kuna takwimu, nazo tunaomba MS atusaidi kutafsiri



''Takwimu hizi ni mali ya Mohamed Said, huruhusiwi kupigachapa, kutoa nukushi au kuzidurufu isipokuwa kwa idhini yake''



 
Profesa Nguruvi3 link basi tusome zimetoka wapi unamchanganya hata Prof Hirji.

Au utasema link nayo imeliwa na panya buku.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako wewe unataka kulazimisha kuvaa viatu ya Mohamed Said, wakati wewe unavaa namba 6 na Mohamed Said anavaa namba 10 hauoni kama vitakupwaya.

Ni ushauri tu.
 
Mkuu ningependa tujadili purpose ya Nyerere kuivunja EAMWS ilikua nini ilhali vyombo Kama TEC na CCT ambavyo kazi na malengo yake yaliwiana Sana na EAMWS lakini hivi viliachwa?

Napenda Sana tujadili hili.
Sijui kama atakujibu hata kama akijibu hawezi kukubali msimamo wake na wako tofauti yeye anaamini EAMWS haikuvunjwa na Nyerere.
 
teh teh teh

Mudeer,
Nguruvi3 nadhan bado hajatoka maliwatoni teh teh teh

Najua maji hawezi kutumia mimi leo NIMEMLETEA TOILET PAPER ZA KUTOSHA KABISA,

KUCHUKUA AU KUACHA NI JUU YAKE NA NI HIYARI YAKE,

MIMI NAMSAIDIA TUH KUJISWAFII

:heh: :heh:
 
Last edited by a moderator:
Amiin kwa sote...
 
Mkuu ningependa tujadili purpose ya Nyerere kuivunja EAMWS ilikua nini ilhali vyombo Kama TEC na CCT ambavyo kazi na malengo yake yaliwiana Sana na EAMWS lakini hivi viliachwa?

Napenda Sana tujadili hili.

CC
Nguruvi3 mimi sisemi kitu hapo,

Mkuu Lusungo kamaliza kila kitu
Nguruvi3 umeshatoka kunako MALIWATO??

MIMI NIKO NJE HAPA NIMEKULETEA TOILET PAPER ZA KUTOSHA KABISA.

:rockon: :rockon:
 
Last edited by a moderator:
ninayo moja kwenye cd ya fernando sancho na guliano gema inaitwa if i am not wrong 'return of the ring', bonge ya movie late 60"s
 

Hivi hiki maana yake nini?

Source: University of Dar es Salaam Student Directory
 

have always admire you, this a broad facet of our socio and economical evolution and developments , i know the truth will be resisted by many , but i give you my respect
 
Haya ndiyo maneno ya Hirji:

The volume of historic detail in Mohamed Said's paper, Tanzania: A Country without Heroes, is impressive. Little of this information is known. He makes a persuasive case that numerous individuals who made critical contributions in the anti-colonial struggle in Tanzania are either only partly acknowledged or completely suppressed in the official, popular and even scholarly discourse.


Mnataka Mohamed Said ajibu nini hapo?

sadoliki, leta jibu kwa swali langu.
 
Ndugu yangu Nguruvi3 hivi kweli unategemea watakupatia jibu hawa waheshimiwa mi nasubiri viroja.

 
Last edited by a moderator:
ninachoweza kusema ni hahahaa , mungu akurehemu, kukufurahisha nasema sijamsikia

Wala usiwe na shaka, laiti ungaliisoma "paper" ya Mohamed Said usingeyasema hayo kwani ukifunguwa tu "paper" ya Al Alama Mohamed Said inayojadiliwa hapa unakutana na hii picha:


Mzee Mshume Kiyate and Julius Nyerere February 1964.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha Nguruvi3 Mzee wetu Mohamed Said muda huu yuko anachungulia kwa mbali dadavuzi mpakato ishakuwa nzito.

 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…