SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Lusungo.
Msome Nyerere mwenyewe hapa chini.
Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).
Nyerere mwenyewe kakiri kuwa jina la TANU lilikuwpo siku nyingi.
Jiulize fikra za kuanzisha chama kazileta Nyerere? Hapa ndiyo watu wanapinga kuwa hawa wengine mbona historia inawatupa mbali ndiyo maana Mohamed Said kawarudisha kwenye kitabu chake.
Because the truth hurts and is denied here because of personal interst by the like of you Nyakageni who likes character killing.
Nyerere was a genius in obfuscation, he could use words to insult you in public and yet you will clap hands leaving the arena smiling and when you come to realize it is too late.
And his art is like when he nationalized the colonial days era church schools for instance and yet he allowed the church to build more schools with MOUs while advocating the so called secularism in the government (Command & Control tactics) and deniying the same previleges to Muslims while we the Sikh and the Hindus enjoyed our previledges too. What minorty does he Hirji talkes about is it because The Agha Khan maintained ownership of their facilities?
Hirji is doing the same of what he accuses Prf. Muhammad Said.
Why does Dr. Hirji does not point this.
Sasa historia kapotosha nani kama Nyerere anasema jina la TANU lilipendekezwa na kina Sykes ? Hoja ya Mohamed Said ya upotoshaji inaegemea kitu gani ? Kwa mantiki hii hizi simulizi za Mohamed Said zinavuta hisia lakini kimsingi hazina maana yoyote.
Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Kwi!Alimaanisha Prof Hirji, kiwewe kina mambo!!! mtu kashikwa tembe, inauma bwana!
Tulichowahi kusema ndicho alichosema Prof. Tukaambiwa hatupo Oxford library
Are you saying Nyerere did not allow muslim to build their school? I know one muslin school in dar buld in nyerere time called el haramain in kinondoni. Also i don't think government MOUs was used to build secondary schools.
Jee, umewahi kumsikia Mshume Kiyate?
What year was it built?
Hewala, basi ngoja niangalie kama mkabrasha yangu hayajaliwa na panya. Nikipata nitaweka data zake hapa, tutazifanyia ulinganifu na za Prof.
Pamoja na hayo ninatememeka sana maana tusijemweka mzee karibu na mlango wa kwend uani! sijui na sina uhakika, wanajamvi wataamua. Ngoja nifungue fungue makabrasha.
Mohamed Said, kama unazo data karibu tuwekee maana mimi lazima niingie katika kabati! muda sana
Which is more appropriate word than What. This mistake makes your question senseless.
Kama unafuatilia habari za Nyerere na maisha yake kwa nini usimjue Mshume Kiyate ?
Gombe Sugu, kumbe upo ila umebadilisha/umefupisha jina lako! Et tu - Hata wewe kweli huoni hoja za msingi za Profu? Inshallah, urejee kesho tujadili aya kwa aya.
OK, tunangoja "full version" ya "Professor" Hirji tuione, maana hii kakiri ina makosa haifai na si yenyewe.
Kama una nia ya kuanzisha mada kuhusu Mungu na Uislam nakushauri ufunguwe nyuzi, hapa kuna ya Professor Hirji.
Wanaukumbi, Prof Hirji, analalamika nani kaileta hii pepar hapa.
Anawaomba msamaha wasomaji wote walioisoma hii pepar maghumashi ina makosa mengi ya kitoto.
Kumekucha tena JF.
Prof kaingia anga zingine anaikana pepar yake alidhani yupo kwenye warsha ya kigoda cha mwalimu Nyerere.
Ktk uandishi Wa paper makosa ya. kiuchapaji au ya kimsamiati kuwepo ni kawaida Sana na ndio maana uhariri...
Kwa kawaida MTU muelewa angeelewa tu kwenye mau mau palistahili maji maji kwa kufuata mtiririko Wa matini.
Acha kupindisha ukweli amekiri kwenye kipengele cha mau mau kwamba alitaka weka maji maji war...
Hata hivyo bado kuna mengi ya kujibu haimaanishi content yote imekosewa.
Sasa historia kapotosha nani kama Nyerere anasema jina la TANU lilipendekezwa na kina Sykes ? Hoja ya Mohamed Said ya upotoshaji inaegemea kitu gani ? Kwa mantiki hii hizi simulizi za Mohamed Said zinavuta hisia lakini kimsingi hazina maana yoyote.
you are SoNotorious LOL
Gombe Sugu, kumbe upo ila umebadilisha/umefupisha jina lako! Et tu - Hata wewe kweli huoni hoja za msingi za Profu? Inshallah, urejee kesho tujadili aya kwa aya.
Mkuu Udadisi,
Nimekusoma ndugu yangu na nimejaribu kukufahamu, pia nafarijika mno kukusikia baada ya kitambo.
Ni kweli naliadimika takriban miezi mingi kiasi hapa JF...yaani nimekinzwa mno na majambo ya kibaruani na Family. Tuwiane radhi na tuko pamoja Kaka!
Mie sijasema popote pale yakua ati nimeipinga hiyo critique ya Bwana Hirji, ati yoote!? Hasha, asilan!
Ndoo maana nikachagua tu ile premise kiduchu kwa kuanzia na nakhis bado pana mangine alopotosha amma ni debatable arguments...japo kwasasa tuziache kando, au!? Pia yamo mangine yeye Bwana Hirji amejitahidi mno kunyambua kwa kiasi chake, japo pia penye kufanza hivyo ame-over look baadhi ya facts!?
Mie binafsi na weye, tunamfahamu na kumstahi mno Dr Hirji kwa taaluma yake na uwezo mkubwa alonao...japo hii haimaanishi yakua ati hakosoleki amma kupingwa kwa hoja mwanana...yaani kama mwenyewe alivyokiri hapa jamvini, yakua pamoja na ubobefu wake mkubwa mno lakini hata naye pia ni mwenye madhaifu hata ndani ya hiyo taaluma yake!?
Ningalipenda kuchukua fursa hii pia kumshukuru Dr Hirji, kwa kujongelea hapa jamvini/mnakashani na kuzidi kutufunda amma kutufanzia fafanuzi za kina!...japo ingalikua busara na vyema zaidi kama atakua verified user, yaani kama mwanzie Dr Mohamed Said, au!?
Nitajitahidi mno kurejea hapa na kujazungumza nawe kwa staha na labda kujaribu kufundana kwayo!?...lakini nachelea kuwavunjia isijekawa twawavunjia hishma yao Manguli wetu Dr Hirji na Dr Said...maana wao ndoo Vinara wenye mpambano/mchakato huu!? Au sasa umeamua huu "mnyukano" uwe baina yangu na yako, Kaka!? Duuh! Teeeh! Teeh!
Nakutakia jioni/usiku mwema na mapumziko yenye kheir...na penye majaaliwa tutazungumza zaidi!
Ahsanta sana.
Kama zipi? mimi sijaona na Hirji kabwabwaja na kuhororoja sana lakini cha msingi sijakiona. Unaweza wewe kukionesha?