Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides


Hypothetical data according to whom? I have read the Mohamed Said's thesis as well, and I would have made the same critique. The paper is shamble, dwells on Religion's angles of analysis

Let's look first on one premise dug by Prof Hirji from Moh'd's paper

Mohamed Said anataka tuamini uhuru wa Tanzania ulipiganwa kwa juhudi kubwa za waislamu

Je na wewe unakubaliana na hilo? tuanzie hapo kwanza

Then kwa case ya Mau Mau, Sitaki kumsemea kwa sababu hii case imenikuta enzi za utoto wangu kuchanganya kati ya Maji Maji Uprising na Mau Mau Movement, the same case inaweza kua inamkuta Prof Hirji katika zama hizi za Uzee wake, na still bado nimepata logic kwa alichokisema,

Wewe na Mohamed Said, nawafananisha na wale watu wa Mabara ya mbali ambao walikiri Africa was a dark continent and had no History, the problem is, they were knowing only the History of their own, The History of Europe. Vivyo hivyo hata nyie mnaamini kipindi cha harakati za uhuru zaidi ya Dar es salaam na Tanga hakuna sehemu nyingine iliyokuwa na wanaharakati mahiri na hata waliokuwapo basi walikua na mapungufu, hii ni kwa sababu mna hadithi za Gerezani tu.
 
Last edited by a moderator:
Soma hiki kipande kutoka kwenye hotuba ya Nyerere wakati anaanga.

Siku moja, Dosa akanifuata Magomeni (Dar es Salaam). Akasema: Leo wazee wanakutaka. Wapi? Kwa Mzee Jumbe Tambaza. Wanakutaka usiku. Nikasema haya, nitakuja. Nikaenda. Nikakuta wazee wameshakaa; wameniita kijana wao kuniombea dua. Mimi Mkristo, wao Waislamu watupu. Wakaniombea dua za ubani. Tukamaliza.Tulipomaliza wakasema kuna dua pia za wazee wao. Basi wakanitoa nje. Tukatoka. Zilipomalizika zilikuwa za Korani; sasa zikaja dua za wazee – za jadi.
 
Last edited by a moderator:

Naona umedandia treni kwa mbele.

Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
 
Njia ya muongo fupi, funguwa nyuzi uthibitishe hii kauli yako.

Ya nini kuandikia mate na wino upo? Unanchekesha!

FF... one of these days I'll take up the challenge so far bado sijaweka muda wa kufanya hii kazi japo I have some ideas of how I would do it. Tuombe uzima tu.
 
FF... one of these days I'll take up the challenge so far bado sijaweka muda wa kufanya hii kazi japo I have some ideas of how I would do it. Tuombe uzima tu.

Si uliuliza maswali humu ukaambiwa uyafungulie nyuzi? sasa unagwaya tena? hivi kuna kazi gani kuyakopi yale maswali yako ukayafungulia nyuzi?

Kumbe kwako imekuwa "kazi" kubwa sana? au ndiyo mchechetu wenyewe huo?

Unanshangaza!
 
Sasa ikiwa mtu anaandika MUM anaambiwa hiyo ni Muslims University of Morogoro, yeye anakazania ni Chuo cha Kiislam, kwa maana Islamic University, huyo kama shule yake hajasomea ujinga kasomea nini zaidi?

Hujanijibu, Mau Mau walipigana na Wajerumani?

MUM ni chuo cha kiislam.

Alosomea ujinga shuleni "chuo" ni wewe na huyo mchochezi wa kidini anayejifanya anatoa masahihisho ya historia ilihal anachochonganisha kwa mlango wa nyuma waislam na wakristo wachukiane. Na kuonyesha jinsi mlivyowajinga mkiulizwa swali dogo badala ya kujibu mnakuja na mavitu meengi wala yasiyoitajika ili muonekane mna profile hii inaonyesha mlivyo wanyonge WADINI wakubwa nyinyi. Mtu ata hajui maana ya historia anakuja na kelele zake tumesaauliwa tumesaauliwa hii ni dhulma,kisa? babu yake wa mtaa wa gerezani alikuwa anaziba pancha baiskeli ya Mwl Nyerere amekosekana kwenye history.

Siku zote udini uenezwa na watu wenye fikra za choyo na kimaskini, wanaoshinda vibarazani kusubiria 'kudra' za mwenyezi Mungu. Mnajifanya mnaupigania uislam kumbe mnazidi kuuchafua.
 

Historia za kina bulicheka peleka kanisani.
Hayo mambo ya Kurudi kwa miujiza wateja wake hapa hakuna!

Au umeshapagawa na maneno ya Zijana za Madrasa? Manake naona sasa umeamua Kupayuka ovyo!
 

By FaizaFoxy

Si kweli, hakuna chuo cha Kiislam Morogoro, kuna chuo cha Waislam Morogoro. Kumbuka hilo, ni Muslim University of Morogoro na si "Islamic" University of Morogoro. Hata kifupi chake ni MUM na si IUM.

Muslim University of Morogoro
P.O. Box 1031
Morogoro Tanzania
Tel. +255 23 2600256
Fax: +255 23 2600286E-
mail: mum@mum.ac.tz
Website: www.mum.ac.tz

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Hotuba ya Mwalimu Nyerere ya kuaga taifa tarehe 5 Novemba, 1985 mbele ya wazee wa Dar es Salaam.

 

Bado sijaona shida hapo, alikua Dar es salaam ambapo kundi lililokua linamtazama lilikua la watu wa dini moja, pengine hata hizo dua au hata biblia haingemsaidia katika harakati za uhuru, pengine alitaka kuwaWin ndugu zako kwa sababu walikua wamedwell kwenye misimamo ya dini,
 
Hata sijui hizo shule huwa wanakwenda kusoma nini...daaa!!
 

Padri matumbo umeshindwa kujibu bakora za waungwana sasa umeamua Kuhara hayo mapuya yako jukwaani.

Waefeso matatizo yenu ni mengi mno, na moja wapo ni hili:

Nyie mnapouliza Swali Basi Mnataka Jibu litoke mpendavyo nyie km mlivyozoeshwa huko Makanisani. Hapa baba Maji Marefu!

Ndio maana Hayo majibu Uliyopewa Na Waungwana Wa Madrasa Kwa Akili yako ya Upako upako Unadhani waliokujibu wanatafuta hio uiitayo (profile)!! Kumbe wao wamekujibu kawaida kabisa.

Nilikuonya toka mwanzo kuwa Hapa sio kule mlikozoea Wewe na Nduguyo mkanyageni kule LOVE CONNECT!

Hapa usipochunga Hayo matumbo yako yatachafuka sasa hivi utuchafulie hali ya hewa km ulivyofanya hapo Juu.

Badala ya Kuleta Mipasho nadhani Ungeinusuru hio sura yako mbovu kwa Kusema Ni swali lipi Umeuliza Ukapewa Jibu Lisilo sahihi!

Unam criticise mzee Mohamed kwa Upotoshaji Bila kuleta Dalili au Ushahidi uliowazi wa hicho unachodai anakipotosha ndivyo mlivyosomeshwa huko kwenye vile vipaimara vyenu?

Hata andiko lako linakufundisha kTK METHALI 29 :09-11
KUWA 😡

"09 Mwenye hekima akijadiliana na mpumbavu; Akikasirika au akicheka, pia hapana raha. ..
-Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote; Bali mwenye hekima huizuia na kuituliza.-

Na pia kwenye METHALI 12:15 Inakushauri mtu km wewe kuwa:-

Njia ya mpumbavu imenyoka machoni pake mwenyewe; Bali yeye aliye na hekima husikiliza shauri.-
....................... .... ..... ........ .......

Sasa nakushauri Usibebe hizo sifa chafu.
Kaa mkao wa Kula Upewe Darasa Na Waungwana Hapa huenda hio Gongo pia Ukaiacha.


Halafu habari za Gerezani Unazijua vipi wewe mkazi wa pugu?
Kuja kwako mjini mpaka uswali Safar!
 
Last edited by a moderator:
Shida uliona ni ipi?
 
MUM ni chuo cha kiislamu.

Objective yake


Moja ya kozi wanazotoa na requirements zake.

LAW WITH SHARIAH Four (4) passes of Arts subjects of Certificate of Secondary Education (Islamic Knowledge accepted)


 
Naona umedandia treni kwa mbele.

Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?

Shida yako kubwa hutaki kutoka kwenye box, sasa twende taratibu,
Kwani Maji Maji walipigana na Waingereza?
Unaedandia treni ni wewe mswahili kwa sababu unashupaa na makosa aidha ya kiherufi lakini hili swala langu hujalijibu, nimeuliza hivi

Mohamed Said anaamini Juhudi za kupigania uhuru wa Tanganyika zilifanywa na Waislamu, je unakubaliana na hili?.

Nipo Pembeni kwenye mkeka hapa nachoma mahindi nakusubiri
 
naration ya prof karim haipingani na ukweli unajaribu kupunguza makali kuwa waislam walitengwa ktk historia ya nchi yetu...prof amejaribu kujenga hoja via mau mau na hata uhuru wa USA ambayo kwa kiasi kikubwa imetia chumvi iliyoharibu kabisa mchuzi... UKWELI UTATUWEKA HURU...UPOTOSHWAJI UTATUANGAMIZA ZAIDI...
 
Shida uliona ni ipi?

Shida ni pale ambapo hata Mshumi Kiyate akimsaidia shilingi mia sita au mia mbili kwa Mwalimu basi mnataka iandikwe, shida ni tu pale kwa sababu unakaa jirani na ilpokuwapo TANU (Lumumba) basi unataka na ww uwepo katika Historia
 
MUM ni chuo cha kiislamu.

Objective yake


Moja ya kozi wanazotoa na requirements zake.



[/LEFT]

By FaizaFoxy

Si kweli, hakuna chuo cha Kiislam Morogoro, kuna chuo cha Waislam Morogoro. Kumbuka hilo, ni Muslim University of Morogoro na si "Islamic" University of Morogoro. Hata kifupi chake ni MUM na si IUM.

Yes, kuna Waislam wanaosoma hapo na wapo wasio Waislam, Islamic knowledge hata UDSM inakubalika, hulijuwi hilo? sasa hivi katika masomo ya vyuo vingi tu kuna hata Islamic Banking inafundishwa kwa hiyo vimekuwa vyuo vya Kiislam?

MUM ni Chuo cha Waislam si chuo cha Kiislaam.

Hili bado hujajibu: Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
 

Mzee kwa jinsi unavyojibu kistaarabu nadhani wewe aidha una kichwa kizuri sana kukumbuka uliyofundishwa utotoni ama ulisoma madrasa ukiwa mtu mzima na ndio maana unaikumbuka misingi ya adabu uliyofundishwa.
Akina Ritz na FF kama nao walipitia madrasa nadhani uwashauri wakapate refresher course kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…