Professor anapojibu "Paper" iliyoenda shule kwa "hypothetical" data, halafu bado tunashangilia.
Professor Hirji kukiri tu kuwa hizo ni "hypothetical...Data..." ni kuwa amekiri kuwa data zake ni za ni kufikirika, jee na hao "Four people interpreted the data." ni akina nani zaidi ya wakufikirika?
Ikiwa hawa ndiyo ma Professor wetu hao wanafunzi sijui wakoje?
Sasa nnaamini kabisa kuwa wanafunzi wa Professor kama huyu wanakwenda kusomea ujinga.
Wanasema mara nyingine ukimya ndio jibu la mjinga . Uhenda wametumia falsafa ya mpuuzi mpuuze.
Hoja ipi ya kujibiwa? Hirji ka criticize, kaulizwa maswali mawili mawili tu, hajajibu mpaka sasa au wakala wakala wake KVM hajajibu, kakwepa.
Mimi binafsi nimeonesha mapungufu ya maandiko ya Hirji ambayo hakuna aliyekuja na jibu, kuna mmoja tu kaja kasema hizo data kweli za kufikirika. Unajuwa hiyo maana yake nini kisomi? maana yake critissm ya Hirji yote inafaa itupwe kwenye garbage bin.
Lakini ili tuwape wengi faida na darsa, tutauendeleza mnakasha tartiiiiibu tuwape darsa, nnauhakika wengi wenu mtafaidika, maana mnaonesha kuwa wengi wenu hamko katika kiwango cha usomi wa kuweza kukabiliana na minakasha ya kisomi na hii ni fursa yenu kujipatia mawili matatu.
Professor Hirji, kwa kushindwa kuelewa tu Mau Mau na Wajerumani ni kama mbingu na ardhi na akaandika hivyo katika hizi pumba zake anaonesha kuwa ni Professor bogus (with all due respect).
Na hilo la kukiri kwake kuwa ana criticize kwa kutumia "hypothetical... data..." ndiyo kama nilivyokueleza awali, na laiti ingalikuwa kaileta hii criticism kwenye jopo la wasomi na kuna Mwenyekiti, Mwenyekiti tayari angeshamwambia "shut up, seat down and listen to other scholars".
Nawahurumia sana wanafunzi wanaofundwa na "Professor" kama huyu Hirji, hakuna zaidi bali wanajazwa ujinga tu.
| [TABLE="width: 595"] [TR] [TD]"Why Mwalimu Julius Nyerere did not reveal much of his early life in Dar es Salaam of 1950s and about the people who were with him. Why Mwalimu Nyerere took this position now remains a rhetoric question. Was Mwalimu Nyerere trying to conceal something or is this an innocent omission? Mwalimu Nyerere however talked to Lady Judith Listowel in 1963 who had come to Tanganyika to research on a book (The Making of Tanganyika) she was writing. Judith Listowel was the wife of the last governor of Gold Coast (Ghana). She was put in contact to Ally Sykes by Peter Colmore in Nairobi. Listowel came to Dar es Salaam and interviewed Abdulwahid, Ally Sykes and Julius Nyerere. In that book Mwalimu paid a glowing tribute to fellow nationalists who had preceded him in the political arena. The Making of Tanganyika published in London in 1965 is now out of print book. In Tanzania there are only two copies in existence, one is at the University of Dar es Salaam Library and the other one is with Ally Sykes. There are reports that Mwalimu Nyerere was under tremendous pressure from friends, supporters as well as from cronies to write his memoir but flatly refused. It is reported that Mwalimu even refused to meet an Oxford University Press representative who wanted to discuss about writing of his memoir. Was Mwalimu Nyerere through his silence sending a terse message? It was only when Mwalimu Nyerere was severely criticized in two books: Conflict and Harmony in Zanzibar by Ali Muhsin Barwan and The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 -1968 by Mohamed Said that it is said Mwalimu Nyerere succumbed to that pressure and told his confidants to form a committee which he would talk to about his life and from that interaction they would be able to write his biography. But although the committee was formed it never got off the ground as Mwalimu was in failing health and soon died on 14 th October 1999." Mohamed Said 29 September 2008 Niko na Peter Colmore Nyumbani Kwake Muthaiga, Nairobi 1995 |
Muhasisi wa TANU ni Mwl Nyerere, hao kina Sykes walikuwa na kijiwe cha soga kinaitwa TAA .
Baba/Babu yangu.
Dk.Mohammed Said.
nataka uniweke sawa..vitu kadhaa.
unachopigania hasa ni omission ya wazee wako katika hostoria ya Tanzania.
au unapigania waisilamu kuwekwa kwenye historia ya Tanzania kwa sababu ya kusahaulika.
au unapinga dhulma ya wazee wako waliofanyiwa na nyerere.
au unapinga dhulma waliofanyiwa waislamu na nyerere.?!
labda niseme unapigania watu maalumu na dhulma walizofanyiwa kwa kuwa ni waisilamu,au upo genera?!..
yaani unapigania waisilamu kwa ujumla?!
Aunthetic,
Unachotaka kujua khasa ni nini?
Nifahamishe ili nikupe jibu litakalofaa.
samahani mzee wangu.
kwa heshima na taadhima.
naomba usahihi wa picha na tarehe.
maana kwenye picha imeandika tarehe 3/11/2007.
kisha ume type '1995'
Authentic,
Hizo picha nilipiga katika zile camera zetu kabla ya digital.
Sasa ili kuweza kuzihifadhi hizo picha nimezipiga katika digital
ndiyo unaona tarehe zimepishana.
nashukuru.
me npo hapa kujifunza kutoka kwako.
nashukuru kupata fursa hii.
japo ni online sio phisicaly.
ila naamini nitajifunza,kipindi kile na yericko nyerere nilikua nakusoma juujuu maana nilikua masomoni.
ila sasa npo likizo,naamini nitastafidi japo kwa uchache.
plz,usichoke na maswali yangu.
Muasisi.
Hakuna malumbano kuna darsa tu.Yetu macho ngoja tuendelee kufuatilia malumbano ya hoja
Mudeer Salaaam aleykuym.
Leo naona UNAFUNGUA MIKOBA ADIMU SANA WALLAHI ...!!!
LEO TUTAKESHA HAPA INSHA ALLAH
JAMVI HILI LEO LINATETEMEKA..!!
NAKUVULIA KOFIA MUDEER
:yo: :yo: :yo: :yo:
Ndio tumekaa pembeni tunasikilizia tu hilo darsaHakuna malumbano kuna darsa tu.
Mzee Mohamed Said nimehoji ukokotozi wa Kitwana Kondo ati asilimia 71 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 1999 walikua waislamu na asilimia 29 walikua wakristo, (71+29=100). Kwa hesabu hiyo unataka kuniambia watahiniwa wote wa mwaka huo walikua waamini wa imani za kimapokeo na sie wa imani za kishenzi hatukua kati ya watahiniwa?
Baba/Babu yangu.
Dk.Mohammed Said.
nataka uniweke sawa..vitu kadhaa.
unachopigania hasa ni omission ya wazee wako katika hostoria ya Tanzania.
au unapigania waisilamu kuwekwa kwenye historia ya Tanzania kwa sababu ya kusahaulika.
au unapinga dhulma ya wazee wako waliofanyiwa na nyerere.
au unapinga dhulma waliofanyiwa waislamu na nyerere.?!
labda niseme unapigania watu maalumu na dhulma walizofanyiwa kwa kuwa ni waisilamu,au upo genera?!..
yaani unapigania waisilamu kwa ujumla?!