Angalia picha hii.
na hiyo uliyoandika ni takataka au ....? kama post inakuboa, ipotezee! tuna uhuru wa mawazo humu ndani!! nyambaf!Takataka hii
mimi nilijua kuna issue ibada zake sisi zinatuhusi nini?
kwani umeambiwa toba zote ni za kweli,
next time keep majungu yako
kanisani kuna mengi (siasa , uponyaji na social)
Muda si mrefu nimetoka kumwona mh Lowasa ndani ya kanisa la nabii TB joshua akiwa ametulia akisubili unabii wake. Naomba tumwombee katika harakati zake za kutengeneza na kuomba neema za Mungu juu yake na kufikia malengo yake
yepi?Ya kurudia uwaziri mkuu?kuongeza mke?au watoto?????Muda si mrefu nimetoka kumwona mh Lowasa ndani ya kanisa la nabii TB joshua akiwa ametulia akisubili unabii wake. Naomba tumwombee katika harakati zake za kutengeneza na kuomba neema za Mungu juu yake na kufikia malengo yake
kaenda kutafuta upako wa kuingilia mahali patakatifu Ikulu mwaka 2015kwa wale wenye access na emmanuel tv, chekini mh LOWASSA yupo live anapata neno la mungu kwa prophet TB JOSHUA.![]()
Huyu bwana kweli anautaka uraisi. Tujiandae kushuhudia vita ccm!kwa wale wenye access na emmanuel tv, chekini mh LOWASSA yupo live anapata neno la mungu kwa prophet TB JOSHUA.![]()
Atautafuta sana urais but hatapata.
Makanisa kibao Tanzania anafuata nguvu gani huko?