Beach Wear!

Kibukuasili

JF-Expert Member
May 15, 2010
1,050
605
1378393_611152322261913_150061037_n-e1399828208942.jpg

329560_contraste-entre-la-tenue-d-une-femme-emiratie-et-une-occidentale-sur-une-plage-de-dubai-l.jpg

turist.jpg


jessica-alba-sexy-bikini.jpg
 
Kwa kweli wanawake wa kiarabu kwa kufunika miili hawajambo. Kuna mmoja nilimuona siku moja anaogelea na full baibui afu kajitenga peke yake, na anafurahia kabisa. Nilimu-admire kwa kweli.
 
Allshabab nao wanaendaga bichi?si wanasemaga ni umangaribi?
 
kama unajijua una ukame wa zaid ya wiki 3 nakushauri usiende kwenda bichi.
unaweza kukitupa hewan ukakosa poz
 
Kwa kweli wanawake wa kiarabu kwa kufunika miili hawajambo. Kuna mmoja nilimuona siku moja anaogelea na full baibui afu kajitenga peke yake, na anafurahia kabisa. Nilimu-admire kwa kweli.
Kongosho sio kuwa wanapenda ni maagizo ya MTUME, amri!
 
bora tu usiende beach kwa style hii...
vichupi si lazima ila duh! kama mtu unaweza kua comfortable kuzama kwenye maji na mnguo huo noma sana..
 
Kuna wengine wameshikwa huko iran kwa kucheza wimbo wa Happy wa pharell willims yani ni kasheshe huko Side B!
 
Kila mtu anavaa vile anavojiskia na anafata utashi wa nafsi sioni tatizo hao kuamua kuvaa mabaibui hayo kama nguo za kuogelea kama huyo alieamua kuvaa kichupi......

Alimradi wana enjoy hilo ndio la umuhimu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom