Beach in Japan ... woww..

Beach in Japan ... woww..

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,406
What do you think is inside this building?
Imagine a beach where the sky is always blue, it's never too hot or cold, the water isn't filled with salt and pollution, and the surf is always perfect - welcome to Ocean Dome, the world's only indoor beach.


part-003.jpeg



part-004.jpeg



part-005.jpeg



part-006.jpeg



part-007.jpeg



part-008.jpeg



part-009.jpeg


Ocean Dome has its own flame-spitting volcano, crushed white marble "sand", and it also boasts the world's largest retractable roof, providing a permanently blue sky. Temperature, wind and humidity are closely controlled to provide an ultra-safe "sea-side" experience.

Every hour, the volcano erupts and the hi-tech wave machines start up, starting a few minutes of sanitized surfing.

Entrance cost is
US $50 per person, which seems especially expensive given that there is a free, natural beach only 300 meters away.

 
hahah wakuu hebu ngalieni vizuri hiyo ni fake beach!
 
hahah wakuu hebu ngalieni vizuri hiyo ni fake beach!

Fake its too big a word sema kwamba hii ni man-made sababu all the features za beach ya kawaida inapatikana hapo,

Pia kuna sehemu yaani kuna indoor Ski Resort yaani kuna kila kitu snow inashuka na snow ya kutosha ipo sehemu ya watu kufanya skiing yaani kuna kama mafridge ambayo yanacool maji na kuna blowers zinapuliza hayo maji yakiianza kuganda alafu yanashuka kama Snow.., ukiingia ndani utasema upo Swiss during winter time
 
Mh bongo isingefaa mana wangejaa wapiga chabo tu hahahaha
 
Hii kitu ni kweli. Na nimepata kushuhudia kwa macho yangu. It's amaizing.
 
Sisi hatujafikiaa huko bado....wala hatutakiwi kujifunza lolote hapo....njaa ,umeme hakuna maji hakuna life standard poor...hayo ya nini sisi???wala sio size yetu hata miaka 100 ijayo bado!!!sanaa
 
vipi kuhusu kina cha maji.. ? ni kirefu au kawaida
<br />
<br />
Kawaida Mkuu. Kiasi cha mtu kuweza kuogelea. Kuna waves kama za bahari ya kweli. Na huwezi amini kama ni Man made yaani artificial.
 
Faza house ajaenda tu.?Msimuoneshe atakwea pipa kesho.
 
Faza house ajaenda tu.?Msimuoneshe atakwea pipa kesho aka bembee.
 
wao kwa kweli panavutia kwa asilimia zote, its amazing
 
Sisi hatujafikiaa huko bado....wala hatutakiwi kujifunza lolote hapo....njaa ,umeme hakuna maji hakuna life standard poor...hayo ya nini sisi???wala sio size yetu hata miaka 100 ijayo bado!!!sanaa

mkuu usisahau hata mahindi na maharage tu ya kula mlo hafifu hatuna....ohh hatuna hata kamanda na msimamizi wa sera za taifa.
 
Najenga ya kwangu pale karibu na fery, karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom