Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

ukitumia kiswahili, kuna tatizo kwani??
 
kumbe wewe watoka huko? unamjuwa mwalimu singano weye? umenikumbusha kuwatembelea washkaji zangu wa kimanga pangani na kina clement bazo.
 
unajua kuogelea lkn..? au utaniachia shem niogelee nae 'joke' nenda coco bro utaenjoy
 
kumbe wewe watoka huko? unamjuwa mwalimu singano weye? umenikumbusha kuwatembelea washkaji zangu wa kimanga pangani na kina clement bazo.

Ewe punguani, Pangani ni 65KM kutoka Dar.? Soma vizuri kabla hujakurupuka.

Hii mijitu mingine sijui ikoje! halafu atakwambia anaishi Dar., hata Boza Beach, haijui, huko wakuja hawapajui. Kumbuka hilo.
 
Ewe punguani, Pangani ni 65KM kutoka Dar.? Soma vizuri kabla hujakurupuka.

Hii mijitu mingine sijui ikoje! halafu atakwambia anaishi Dar., hata Boza Beach, haijui, huko wakuja hawapajui. Kumbuka hilo.

ewe kibibi kizee boza beach iko wapi? au ni kama Beach kidimbwi ya Sinza?
 
Km 65? Si siku nzima kusafiri?
 
Nenda bongoyo island boti unapandia slpway.utaenjoy inawhitesand ya ukwel n then wanaokwenda huko hakuna mbabaishaji na sehem tulivu kwa utalii wa ndani

Nilikuwa nataka pia
nimwambie I like the place
Ukishindwa bongoyo nenda KIJIJI BEACH kigamboni u will never regret achana na mabeach ya kihindi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…