Beach beach beach beach

Ndo wewe uko na hicho kibabu kirefu cheusi?

yah.....nipo karibu yake......umemuona huyo mkaka mwenye 6 pack kavaa pensi nyeusi.....?
huyu hapa ndio nipo nae......


1.jpg
 
Hiyo yote ni kwa sababu ya kumpagawisha babu Asprin tu??
Hilo jukwaa kwakweli hata sijawahi kuliwazia.
Haya mwaya we kajiimarishe shosti!

Good evening to you too dearest!
Wewe ni mtoto mzuri sana. Unapaswa kuwa mke wa babu ODM
 
Back
Top Bottom