BE WARNED:this is for all mmu female members

kaka ukome,pengine anasoma comment tu.kwa upande wangu simuamini mwanamme yoyote yule kwa njia ya mtandao,asilimia kubwa ni matapeli tu,anatongoza kwa kutaka kuonjeshwa tu,najua wapo waliofanikiwa jf,lakini wengi wao ni walewale tu.
 
Mtoa mada umemtaja kistaarabu sana. Ukisoma love connect utamfahamu. Nimeikumbuka hii stori na nilimuonea huruma sana. Iddiotilycious!
 
Mtoa mada umemtaja kistaarabu sana. Ukisoma love connect utamfahamu. Nimeikumbuka hii stori na nilimuonea huruma sana. Iddiotilycious!

NiPM ID yake basi, mimi nimeshindwa kuunganisha dots.
 
Mtoa mada umemtaja kistaarabu sana. Ukisoma love connect utamfahamu. Nimeikumbuka hii stori na nilimuonea huruma sana. Iddiotilycious!

general, hebu tupe wengine hatuko sana love connect
 
Naona Kijana huyu ni mzinzi na ana pepo la ngono lina mtawala AU MGONJWA ?

ngoja nifunge na kuomba kwa ajili yake
..
 
Pole sana kwa yaliyo kukuta...Mpaka alikuambia ameoa na ana watoto wawili...?Pole sana..
Hakuambiwa alikuja kugundua mwenyewe tena the hard way, the good thing is that she has decided to warn her colleagues. Wadada siyo kila kingaacho ni DHAHABU!
 
Wanawake wa siku hizi wengi bila kuwapiga sound inakua ngumu sana kupewa mzigo lakini huyu mshkaji I think he's gone a bit too far 'kumuua' mkewe!
 
Aiseeee tueni makini hasante kwa taarifa

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Yani shida zoooote hizo za kufungua miIDs kibao na kusingizia na kumkana mke tatizo ni kugegeda? au anatafuta nini kingine pengine hapa kuna siri maana haiingii akilini wanawake wote hao wengine wanajiuza huko kanda ya kaskazini na aje hapa jf kutafuta mgegedo.
 
Asante kwa upendo mkuu uliouonyesha kwa kutoa tahadhari.
 
Wanawake wa siku hizi wengi bila kuwapiga sound inakua ngumu sana kupewa mzigo lakini huyu mshkaji I think he's gone a bit too far 'kumuua' mkewe!

Yaani najiuliza kama na mimi nimetangaziwa umarehemu mara ngapi huko duniani toba yarabi.....
 
Tatizo udigitali umeanza kuingilia mpaka kwenye mapenzi, si mkatafute uraiani ili muonane ana kwa kwa ana (japo sio guarantee ya kutokurubuniwa)....
 
Wanawake wa siku hizi wengi bila kuwapiga sound inakua ngumu sana kupewa mzigo lakini huyu mshkaji I think he's gone a bit too far 'kumuua' mkewe!
Mkuu, mimi kila nikipiga sound wananikaushia, najiuliza sijui nitumie na mimi hiyo technic, nahitaji kimwana wa JF.
 
mnh mmenishangaza.....

labda wanaume wa ukweli wa JF wamfundishe 'hunting'....

labda ni wale wazito kutongoza,hawajiamini kutongoza style yao ni ya kizamani...anajua hatopata mtu lol
 
Poleni sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…