be ware of erolink


Hii biashara inaitwa "recruitment process outsourcing" ambayo serikali imeipiga marufuku jana.


Hii biashara ndiyo proper recruitment agency na sidhani kama imepigwa marufuku jana.
 
Wamepigwa ban jana na wazir baada ya malalamiko kuwa mengi dhidi yao
 
Biashara za kibongo hizo. Badala utoe huduma bomba uvutie wateja wako na wote unaofanya nao biashara ili uwavutie wengi zaidi, unaanza tamaa ya kuwadhulumu watu kupuuzipuuzi tu.
Kama huyu mhindi wa ENRICH AFRICA akiendelea hivyohivyo bila kuharibu basi atachukua biashara yote. That's how you do business.
Customer comes first!!
 

They also do Total Outsourcing - Foreign Experts on short assignments. They claim to source expatriates who are experts.

They provide complete administrative support, involving logistics, work permits/Visas, Accommodation, payment of salaries etc.

source: http://www.enrichafrica.org/index.php?q=aaabf0d39951f3e6c3e8a7911df524c2

This type of outsourcing nayo si itakuwa imepigwa ban? Inawezekana alikuwa anawalipa vizuri lakini ndiyo hivyo, they will have to drop the outsourcing thing and work as a typical recruitment agency.
 

samak mmoja akioza,,,watupe wooote
 

Jana hatimae kimeeleweka.
 
erolink janga nendeni vodacom call center watu wanataabika mshaara laki 2 utoe nauli ule ulipe kodi na kazi mwanzo mwisho dah

Nlishangaa sana vodacom walipata tuzo cjui kwa kutoa ajira kwa vijana wengi, mhhh ajira wap jaman watu wanateseka sana n kampun inayoongoza kwa kua n watu walopta elolinh n voda wadada ndo wengi wanateseka huko Mungu hapendi yaan laki mbili kwa mwezi afu bdo ajihudumue anakaa, gongolamboto kituo cha kaz mliman cty mhhhhh yan n shuda ka pesa kote c kanaishia kwenye nauli jaman wanakua wanaingiziwa pesa nying malipo kidogo, na NBC waliwah kua n wafanyakaz wa elorink mhh walipata tabu sana aseeee, yan wanaonekana kama takataka hata wanafunz walioko field wanaheshmika kuliko hao
 
Hii biashara inaitwa "recruitment process outsourcing" ambayo serikali imeipiga marufuku jana.



Hii biashara ndiyo proper recruitment agency na sidhani kama imepigwa marufuku jana.
kwa minajili hiyo kila agency watadingizia wanfanya service kama za huyo muhindi kwamba mkataba ana sign muajiriwa na muajiri lakini ukweli hamna kitu mimi nakumbuka kuna recruitment inaitwa maua eti walinitafutia kazi wakaniambia niwalipe 100k ili niweze kupata nikawaambia nitawalipa hiyo nikishapatawakagoma wanataka kwanza nikashuka nao mpk 80k ndio nilipowaona wazushi kitu kama hicho inawezekanaje tukabargain walau ingekuwa fixed ningewaona wapo serious alafu ajabu kabisa mtu niliyekuwa na bargain nae mzungu sasa walifikiri ssijui ningebabaika since that day sikuwatafuta tena alafu waligoma kuniambia ofisi zao ziko wapi so far nilikuwa najua na. Ya simu na web yao tu.
 
Reactions: EMT
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.

Kuonewa kwel wanawaonea lkn swala la kugegedwa ni tabia ya mtu hata angelipwa million. Baadh ya wanawake wamekuwa rahis sna yan lunch inakuvua pichu!!!!!!!!!!!!!!!!@@
 
Hii thread ya pili humu naona wakilalamikiwa,bilashaka watakuwa sio watu wazuri
 
Sasa bora kupata kidogo au kukosa kabisa?nilikuwa nina mpango wa kupeleka CV yangu pale, nipeleke au nipotezee tuu.ushauri tafadhali.
 
Sasa bora kupata kidogo au kukosa kabisa?nilikuwa nina mpango wa kupeleka CV yangu pale, nipeleke au nipotezee tuu.ushauri tafadhali.

Kupata kidogo lakini pia unafanya kazi kama mbwa? Huna u-free wewe, sikukuu zote upo kazini? Kama unahisi utaweza hzo shuruba, basi peleka 2 CV yako ila usije kulalalamika. (Nimeongelea kwa upande wa customer care wa voda under erolink)

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Sure kabisa hawa jamaa wanafanyisha kazi kitumwa kabisa...Asante Kabaka but naomba uende mbele zaidi yaani wafanyakazi wote wa hizi recruitment agencie wapewe haki zao kabla hizi agencies hazijasambalatika
 
At least serikali imeamka. Kwa yeyote mwenye ripoti ya tume atuwekee hapa tunataka kuona to what extent haya makampuni ni kishenzi sana na yanadhalilisha watanzania waTanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…