hawa jamaa ni washenzi sana...hapa kazini kwangu naomba nisipataje jina...wapo wafanyakazi wa elorink kama mia hivi...yaani wananyanyasika sana...kwa kweli serikali tunaomba iingilie kati suala hili...watu wanaofahamu sheria za kazi pia waingilie kati suala hili...wafanyakazi wanakosa haki zao za msingi zooote...mfano hapa ninapofanyia kazi huwa wanakaa mpk saa mbili au tatu...na kampuni inawalipa overtime...but ikifika kule erolink wwanaila wao...wafanyakazi hawapi kitu...huu si uungwana...tanzania tunaenda wapi?
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
eurolink ni kampuni ya nini vile?
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
Mh! hapo wa kulaumiwa sio Erolink.Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
Tafuteni ushahidi ili mtoe tuhuma vizuri,mtadhulumiwa kama hamtakuwa makini kunote vitu vya msingi.Kuhusu NSSF HAKIKISHENI mnapewa salary slip na mtunze mikataba yenu vizuri maana kisheria kama kuna ushahidi wa hayo makato NSSF lazima wawalipe alafu wao watajuana na kampuni husika.
Btw maandishi yenu haya hayatapita bure kuna hatua flani za kuifatilia kutoka taasisi tofauti zitaanza.Hata watu wa kodi waliokuwa wamelala wataanza kunusa kidogo maana nguvu ya maandishi ya JF si ndogo!!
ni ya ku recuit...yaani wanakupatia kazi wao wanakula asilimia kibao wewe unabaki mateso....ila ndio unakua temporary mpk wanakutema au uache mwenyewe
ooo toba!! maana nimeshangaa mleta mada amesema hawapeleki michango kwenye mifuko ya jamii!!! nikafikiri wanaajiri