Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,018
- 142,875
Mbona tayari nimeshasema…Sasa wewe ungetuambia chakufanya mkuu
Nenda kamkodishe aje basi….Al-Sisi anafanya kazi nzuri Misri
Atatumwa Captain Tesha.Nenda kamkodishe aje basi….
😷Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].
View attachment 3483280
Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.
Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.
Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.
Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.
I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.
I have never supported military putschs and I’m not going to start now.
This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.
It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.
I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.
I will have more to say later as more information comes out.
But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Nyani Ngabu umetuaibisha.Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].
View attachment 3483280
Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.
Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.
Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.
Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.
I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.
I have never supported military putschs and I’m not going to start now.
This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.
It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.
I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.
I will have more to say later as more information comes out.
But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Usiwadanganye Watu !!.Nimeamka leo hii Jumamosi ya kwanza ya mwezi Oktoba, 2025 na kukutana na video ya aliyejitambulisha kama Kapteni Tesha, afisa kutoka jeshi la anga Tanzania [nasi tuna jeshi la anga?🤣].
View attachment 3483280
Inadaiwa kuwa ni kweli huyo jamaa ni mwanajeshi wa JWTZ, kwa hiyo pia, hata hiyo video yake ni ya kweli.
Jamaa kasema haridhishwi na yanayoendelea nchini na kwamba keshawaandikia barua wakubwa zake huko jeshini kuelezea lamentations zake.
Kwa kifupi, jamaa kasema anataka jeshi lichukue nchi haraka sana ili kuweza kuweka mambo sawa.
Najua hili wazo lina mvuto kwa baadhi ya watu, hususan humu mitandaoni.
I don’t think this is a good idea. Matter of fact, it’s a very bad one.
I have never supported military putschs and I’m not going to start now.
This is a very bad slippery slope, if there ever was a good one.
It is a crossing of the rubicon that we do not want in our country.
I want soldiers to be just that. They should have the people’s back and let civilians handle their affairs.
I will have more to say later as more information comes out.
But, as of right now, a putsch to me is a no-no.
Okay….just be very careful what you wish for…Who cares!Wameuliwa watu hakuna uchunguzi,wanafungwa wanasiasa hakuna kitu,dharau zimezidi sana sijali chochote.We have been living this life with CCM since 1977 and nothing has changed.I don't care whether there will be coup or something else.Enough is enough man.
Nimewadanganyaje watu?Usiwadanganye Watu !!.
Wee unadhan Kwa namna ambavyo Wahuni wameishika Polisi, Mahakama, Usalama..
Ni nani wakuwapa Nguvu Wananchi kama sio Jeshi?.
Acha kama ni vita itoke, kama ni mapinduzi yatoke kikubwa Nchi iponywe.
Hivi unadhan Kwa Namna ambavyo Kikwete, Abdul, Angela ,Mombo ,Rostam, Mafwele na genge lao lote, wanavyohusishwa na Uovu wote, wao watakua tayari kuichia Nchi kirahisi ??.
Tusiongee kama Wajinga
Inawezekana anafaidika na mafisadi, hakuelewi huyo hata useme niniUsiwadanganye Watu !!.
Wee unadhan Kwa namna ambavyo Wahuni wameishika Polisi, Mahakama, Usalama..
Ni nani wakuwapa Nguvu Wananchi kama sio Jeshi?.
Acha kama ni vita itoke, kama ni mapinduzi yatoke kikubwa Nchi iponywe.
Hivi unadhan Kwa Namna ambavyo Kikwete, Abdul, Angela ,Mombo ,Rostam, Mafwele na genge lao lote, wanavyohusishwa na Uovu wote, wao watakua tayari kuichia Nchi kirahisi ??.
Tusiongee kama Wajinga
Whatever! As long as death favors no man,am not afraid to die or whataver happens i'll accept.Infact,am done with every madness going on in this country(totally fed up)Okay….just be very careful what you wish for…
Haina dalili za AI mbona….Nina mashaka sana na hio video, inaweza kuwa AI au jamaa akawa sio kapteni kabisa. Kiufupi kwa afisa wa cheo cha captain, huwa anaongoza zaidi ya wanajeshi mia.