Be Married to Your Own Spouse | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Be Married to Your Own Spouse

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Paul Kijoka, Mar 30, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu wana jamii forum, kuna kitabu nimesoma chenye title hapo
  juu,nafikiri kinagusa mambo yanayoendelea kwenye jamii yetu.maonaje mkisome kisha tukijadili kwenye thred?kinapatikana Salamanda bookshop Samora Avenue na Sumi bookshop Survey.
   
 2. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mtunzi ni ww?
   
 3. D

  Deo bony Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona kama unakipigia chapuo kidzaini flan kavip c utudropishie hiyo story.
   
 4. H

  Haika JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  hapo sasa??
  kwenda kununua KITABU???
  Hio ni kazi ngumu, unaonaje ukitusimulia kidogo? ili na sie tuseme tumekisoma?
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh acha ujanja weewe
  advtsmnet gan izo?


  km nia yako ingekuwa kutupa mawaidha ya kitabu basi ungeyasema na kuwashauri watu wakitaka more wwapate wap..lakin si front tu et kitabu iki kinauzwa pale,....mmh mhh apana...jipange tena thats z too cheap...
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  afu una swaga za ualimu pia...like ..kesho kutakua na test kamsomen sana aristoto na socrates nenden flow ya pil kuna vtabu nimeviweka braaaaaaa braaaaa braaaaa....tokazako ebu tumia jukwaa la matangazo kutangaza kitabu chako uko ndo utajifaragua vya kutosha na wateja utawapata ....BT THANK U ...i wl buy t...
   
 7. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mtunzi sio mimi ila kitabu ni kizuri sana. we kipate kwanza utaniambia
   
 8. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Rose acha utani. Unajua wewe umezaliwa mwaka wa neema 1980 eh, alafu avatar yako inaonekana kitakufaa. Acha kuwachukia Walimu lkn pia na kuwaona kama watu wa kupiga huu saaanaaaa. We kisome tu.
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  point of crctn braza;
  1.siwachukii walimu nawapenda sana cz wamenisaidia kunitoa kwenye ujinga
  2.sjazaliwa 1980 nimezaliwa 19.........
  3.avatar yangu na kitabu inauhusiano gan babu wewe?
  4.ukiniletea ntakisoma...ninunulie kaka....

  my concern is;KATUMIA MBINU DUNI KWENYE KUKITANGAZA KITABU.

  Nawasilisha
   
 10. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ukweli ni kizuri na mwandishi ni mzalendo. Kinatoa maalifa mengi kuhusu ndoa na namna ya kumfanya mpendae awe wa kwako kwa maana kwamba kimejikita katika maarifa ya jinsi ya kuboresha ndoa na uchumba kwa ujumla
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  wewe asi ushakisoma jaman tupe samar yake bas..tusimulie kdg..
   
 12. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwingine kote nakubali yaishe ila kidogo nifafanue hapo penye kijani
  1. Ntakuletea wapi dada Rose?
  2. 'Katumia' nani?
   
Loading...