Be different. Go to page 2 of Google search results today

Be different. Go to page 2 of Google search results today

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,998
Reaction score
2,242
inakuaje wadau?MImi naona kama ulikua unatafuta kitu google na ukakikosa page ya kwanza basi hukipati tena
 
inakuaje wadau?MImi naona kama ulikua unatafuta kitu google na ukakikosa page ya kwanza basi hukipati tena
Yakhe! Vitu vya namna hii mahali pake ni jokes column.Hapa ni chitchat!
 
kuna vitu vingine ni ni common sana,unakuta hadi page 6 kinazungumzwa kitu kimoja tu,lakini vingine havijaandikwa sana unakuta kwenye page ya kwanza tu wamejazia na vitu visivyohusika!sina hakika kama nimeeleweka maana huwa natoa maelezo kwa ufupi sana kama hivi!
 
Back
Top Bottom