Bbm vs wasup

steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
9,538
10,203
Ipi kati ya hizo 2 ni application kali zaidi,na kwa nini??
Wajuzi tufahamisheni zaidi ili tufanye maamuzi mazuri ktk ununuzi wa simu zenye hizi applications
 
Bbm is good hasa upande wa privacy na emoticons. Whatsup its great sababu ni multi platform
 
msisahau na bbm pia inassuport free calling now kwa mtu wa bb mwenzako.

Kama yako haina ka update.

But all in all baada ya miezi kadhaa skype atawatingisha maana nae ameza kutoa multplatform client inayosuport kuchat kama watsapp +video call + call za kawaida itakua mzuka
 
Naomba maelezo kuhusu free call feature on bbm,what need to be updated mzee?

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
msisahau na bbm pia inassuport free calling now kwa mtu wa bb mwenzako.

Kama yako haina ka update.

But all in all baada ya miezi kadhaa skype atawatingisha maana nae ameza kutoa multplatform client inayosuport kuchat kama watsapp +video call + call za kawaida itakua mzuka

Hv hzo free calling huwa inakua vp. Maana najarbu ku call on my symbian na hela inakatwa kama kawa
 
Mi nitaongelea advantages zaidi, disadvantages zinajulikana

BBM ni nzuri sababu ya emoticones na wepesi wa kufatilia profile pictures na status za watu. Hata bila kuongea you can stay in touch somehow. Also easy to know if your message has just been delivered (but not read) or read (and you are being ignored). Group zao hazizidishi 30 people. you also need to accept an invite before you are in touch with a person.

WhatsApp ni nzuri hasa upande wa ku-share media (hasa videos), na pia mtandao wao ni mkubwa zaidi. Huhitaji a particular phone to use whatsApp, so kuna watu wengi zaidi whatsApp kuliko BBM. relatively easy kumpata mtu coz hahitaji kukupa pin. the phone number he first uses when he registers becomes his pin, so ukiwa na number ya mtu ni easy kumpata (is this an advantage or not?).

Binafsi napenda BBM zaidi.
 
Hv hzo free calling huwa inakua vp. Maana najarbu ku call on my symbian na hela inakatwa kama kawa

free call inamaana inatumia internet so kama hauna bundle au huna wireless (wifi) hela itakatwa.

Na mara nyingi hizi free call zinakua ni kumpigia mtu mwenye app kama yako mfano bbm kwenda bbm au skype kwenda skype au nimbuzz kwenda nimbuzz.

Hata hizo mb zinaenda chache kwenye calling mfano bundle ya mb 25 kwa sh 250 voda unaweza ongea dakika 45 hadi saa zima.
 
whatsapp ni crossplatform, hapo umaarufu unazidi, huitaji pin, huitaji bis, as long as una net kwenye simu utaenjoy,

tatizo la whatsapp, itakubidi ulipie baada ya mwaka,

bbm ina watumiaji wachache (wenye bb) ambao sio wote wanAwekaga bis
 
video calls za skype kwenye simu ni poa sana, naenjoy sana, pia viber inachukua watumiaji wa whatsapp,
 
binafsi ni whtsap coz cjawah kutumia bbm na cjawah kutumia coz b.bry sina mzuka nazo
 
Back
Top Bottom