BBM Kwa ajili ya Android na iOS (iPhone,iPad) inatua Sept 21

BBM Kwa ajili ya Android na iOS (iPhone,iPad) inatua Sept 21

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,701
Reaction score
2,613
  • Kupata BBM kwenye android, Hii ni habari njema kwa wadau wa android.
 
Naona kama hii ni kifo chao wanajigongea msumari, kuna watu wengine walikuwa meng'ang'ania kule coz ya BBM
 
Naona kama hii ni kifo chao wanajigongea msumari, kuna watu wengine walikuwa meng'ang'ania kule coz ya BBM


Kama mimi natamani features kibao za Android lakini inaniwia vigumu kuondoka RIM kisa BBM, sasa kama ntaipata huko naona safari imekaribia
 
Nilikua na mpango wa kusubiria blackberry Z30 itoke october lkn kwa habari hiyo nimeghairi.
 
Masahihisho kidogo iOS ni tarehe 22. Android 21
 
They are already late to the party...hii ingekua Next bing thing in 2010 kipindi watu walikua wanaililia..sasa hv Marketshare kubwa ya IM ipo whatsapp(300+ million users)kik,facebook(messenger)na US wanatumia sana SMS + iMessage for ipjone users...but I will use it because of the security and realibilty of service Blackberry offers.
 
Back
Top Bottom