...Unajidanganya kudhani babu ni tishio kwa makampuni ya dawa? Unasemaje kuhusu ngozi ya na viungo vya Albino,nilitishia uimara wa uchumi wa nchi za magharibi? Hii ni aibu kwa taifa kuwa na mlolongo wa matukio ya kishirikina na imani potofu katika karne hii ya 21
Kama mawazo ya kudharau vyetu ndo haya basi tunamatatizo! Hata kama tukitengeneza trekta linalotembea km 2 kwa saa bado hatutawapongeza waliofanya hivyo. Watu tusiwe na ufinyu wa mawazo, hapa ni economic fighting na wala si kukusifu au kukudharau. unadhani kama watu hawatakula ARVs na madawa makali makali ya kansa unadhani wazungu watapoteza ajira na mapato kiasi gani? unadhani polical stability ya nchi zao itakuwaje? Jamani fumbukeni macho, hao wazungu wenyewe wameshapiga kikombe! leo wanazungumza mambo yao ya kiuchumi, jamani amukeni!!!!!!! si suala la ushirikina bali ni uchumi!!!