BBC yaponda tiba ya Loliondo, walinganisha na mauaji ya Albiino

...Unajidanganya kudhani babu ni tishio kwa makampuni ya dawa? Unasemaje kuhusu ngozi ya na viungo vya Albino,nilitishia uimara wa uchumi wa nchi za magharibi? Hii ni aibu kwa taifa kuwa na mlolongo wa matukio ya kishirikina na imani potofu katika karne hii ya 21

Kama mawazo ya kudharau vyetu ndo haya basi tunamatatizo! Hata kama tukitengeneza trekta linalotembea km 2 kwa saa bado hatutawapongeza waliofanya hivyo. Watu tusiwe na ufinyu wa mawazo, hapa ni economic fighting na wala si kukusifu au kukudharau. unadhani kama watu hawatakula ARVs na madawa makali makali ya kansa unadhani wazungu watapoteza ajira na mapato kiasi gani? unadhani polical stability ya nchi zao itakuwaje? Jamani fumbukeni macho, hao wazungu wenyewe wameshapiga kikombe! leo wanazungumza mambo yao ya kiuchumi, jamani amukeni!!!!!!! si suala la ushirikina bali ni uchumi!!!
 
Yale yale ya vita vya majimaji yanajirudia, mbegu za mbarika na mtama kuzuiya risasi za mjerumani... mawe!
 
Kama mawazo ya kudharau vyetu ndo haya basi tunamatatizo! Hata kama tukitengeneza trekta linalotembea km 2 kwa saa bado hatutawapongeza waliofanya hivyo. Watu tusiwe na ufinyu wa mawazo, hapa ni economic fighting na wala si kukusifu au kukudharau. unadhani kama watu hawatakula ARVs na madawa makali makali ya kansa unadhani wazungu watapoteza ajira na mapato kiasi gani? unadhani polical stability ya nchi zao itakuwaje? Jamani fumbukeni macho, hao wazungu wenyewe wameshapiga kikombe! leo wanazungumza mambo yao ya kiuchumi, jamani amukeni!!!!!!! si suala la ushirikina bali ni uchumi!!!

Ndugu yangu AMKA! Hapa hakuna dawa, BABU kasema huo mti hata mkienda kuuchemsha ni kazi Bure! MPAKA AKUPE MWENYEWE NA KIKOMBE CHAKE! Sasa tutaasema tunatakak kufanya mas production ya hiyo "dawa" babu huyo atakuwepo milele! dawa yenyewe masharti kibao ya uongo uongo...
 
Mti unaotumiwa kwa dawa na babu umeanza kutumika zamani na utafiti wa kisayansi umeonyesha unatibu. Tafiti hizo hazikufanyiwa kazi, MUNGU kwa kupenda WAJA WAKE akaamua kumuotesha Babu aitengeneze ili WAPONE. Kitaalamu mti huo unaitwa "Carissa edulis" na kumbukumbu ya tafiti hizo zipo. Inaelekea Mwandishi huyo wa BBC amekosa upeo wa utafiti. Dawa ya Babu sio ushirikina ni dawa ya miti-shamba ambazo zinatumiwa karibu kote ulimwenguni.

Alikutana na Mungu Loliondo? Ana uhakika gani? Hapo ndipo naachwa hoi.
 
Wako sahihi kabisa tena hawajaenda far enough! Huu ni ujuha wa hali ya juu!!
 
Ndugu yangu AMKA! Hapa hakuna dawa, BABU kasema huo mti hata mkienda kuuchemsha ni kazi Bure! MPAKA AKUPE MWENYEWE NA KIKOMBE CHAKE! Sasa tutaasema tunatakak kufanya mas production ya hiyo "dawa" babu huyo atakuwepo milele! dawa yenyewe masharti kibao ya uongo uongo...

Hehehe eti mti ni dawa ila mpaka upewe na Babu kisha uwe na imani!! Hehehe eti Mungu kamwambia auze jelo-jelo :lol: Tanzania vituko kweli!!
 
Wako sahihi kabisa tena hawajaenda far enough! Huu ni ujuha wa hali ya juu!!

Ujuha eh?
Wakiuchukua mti huo huo wakaenda nao kwao na kuutia ndani ya chupa na ukaletwa na wale wahubiri wao mamilionea wa Kisasa, WEWE utakuwa wa kwanza kufika Jangwani kununua BLESSED WATER kwa Shilingi Alfu Kumi kwa kachupa!! Who is the Juha now???
 
Well said BBC....Serikali ya Tz. ina vilaza huyu babu ilipashwa asitishe huduma yake ngoja WHO watakuja na agenda yao asipojikuta anashtakiwa kwa kuupotosha umma.
 
Achana na hao wa mbali mimi mwenyewe tiba ya babu NAIPONDA. Ameficha uganga wa kienyeji kwenye hiyo (REV). Na kiukweili kama hiyo dawa ni sumu I am sorry msiosoma alama za nyakati.
 
Ujuha eh?
Wakiuchukua mti huo huo wakaenda nao kwao na kuutia ndani ya chupa na ukaletwa na wale wahubiri wao mamilionea wa Kisasa, WEWE utakuwa wa kwanza kufika Jangwani kununua BLESSED WATER kwa Shilingi Alfu Kumi kwa kachupa!! Who is the Juha now???

Watakata na mkono wa babu wakaumix? teh teh teh! Tena nimesikia kuna kautaratibu ka kumpatia babu hati miliki ya huo mti! Duh huyu mungu wa babu azidi kuniacha kinywa wazi?
 
Ufafanuzi wako ni kweli kabisa. Tulikuwa hata na dini zetu wakaziita za kishezi . Tatizo watafanya mbinu yoyote hata mchezo mchafu kulinda msilayi yao.Tuwe waangalifu
 
Watanzania tu washirikina sana! Elimu bado inahitajika kubwa. Bado tunaishi karne ya 13 'medieval ages.' Haiwezekani karne hii watu bado wanaishi kwa kutegemea 'imani.' Tutaangamia watz tusipobadilika. Ndio maana nashauri hata katika katiba yetu mpya iwe stated clearly kwamba tanzania ni nchi inayofuata misingi ya 'rationality.' / au 'rational principals'

God have mercy upon you !
 
Mimi sikubaliani na wewe kuwa hii ni kauli ya vyombo vya habari vya kimagharibi, to me hii ni kauli ya MANYANG'AU akina CAROLINE Kayobya et al, wanasahau kuwa hali kwa mch ambilikile imefanywa kuwa wosre na wakenya.

Vyombo vya habari vya Magharibi vinatudharau sana Waafrika. Soma hapa wanavyozungumzia tiba ya Loliondo kusema Wa Tz watu wanaojihusisha na ushirikina hata kuuwa Albino kwa imani hizo. Kwanini wasiulize kama dawa inatibu badala ya kuwa na mtazamo hasi tu?

28 March 2011 Last updated at 10:22 GMT Tanzanian 'miracle' pastor Mwasapile calls for a break

_51865362_img_6192.jpg
Experts are investigating the safety of Mr Mwasapile's (left) cure
A Tanzanian pastor has asked people to stop going to his remote home for a "miracle cure" after thousands flocked there, causing chaos in the surrounding area.
Rev Ambilikile "Babu" Mwasapile, 76, says he does not want any new arrivals until after Friday 1 April, to let the crowds die down.
Local media report that about 52 people have died while waiting to see him.
A BBC reporter says the queues to see him stretch for 26km (16 miles).
Belief in magic and the powers of traditional healers are widespread in Tanzania.
Some witchdoctors say that the body parts of people with albinism are effective when making magic charms, leading to the killing of dozens of albinos in recent years.
Mr Mwasapile's concoction is made from herbs and water, which he sells for 500 Tanzanian shillings (five cents; 3p).
Medical experts in Tanzania are investigating both whether it is safe and if it has any medicinal properties.
When she visited Mr Mwasapile's home near the northern Loliondo town recently, the BBC's Caroline Karobia found 6,000 people waiting to see the retired Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT) pastor.
_51865366_img_6092.jpg
The queues stretched for 26km (16 miles) down the road
They are waiting for days by the roadside and outside his home in Samunge village without shelter, clean water or toilets.
As word has spread in the past month of the pastor's supposed ability to cure any ailments, some people have even been taken out of hospital by their relatives who believe they are more likely to be cured by Mr Mwasapile.
Some of these have died before seeing him, while others are reported to have died after taking his concoction.
Extra police have been deployed to the area to control the huge crowds, some of whom have travelled from neighbouring countries such as Kenya and even further afield.
Mr Mwasapile asked for the break following a meeting with local officials.
 
Iwe inatibu haitibu watuachie dawa yetu,hawa watu waajabu sana kila kitu wanataka kitoke kwao
 
Back
Top Bottom