BBC yaponda tiba ya Loliondo, walinganisha na mauaji ya Albiino | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBC yaponda tiba ya Loliondo, walinganisha na mauaji ya Albiino

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ibange, Mar 28, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Vyombo vya habari vya Magharibi vinatudharau sana Waafrika. Soma hapa wanavyozungumzia tiba ya Loliondo kusema Wa Tz watu wanaojihusisha na ushirikina hata kuuwa Albino kwa imani hizo. Kwanini wasiulize kama dawa inatibu badala ya kuwa na mtazamo hasi tu?

  28 March 2011 Last updated at 10:22 GMT Tanzanian 'miracle' pastor Mwasapile calls for a break

  [​IMG] Experts are investigating the safety of Mr Mwasapile's (left) cure
  A Tanzanian pastor has asked people to stop going to his remote home for a "miracle cure" after thousands flocked there, causing chaos in the surrounding area.
  Rev Ambilikile "Babu" Mwasapile, 76, says he does not want any new arrivals until after Friday 1 April, to let the crowds die down.
  Local media report that about 52 people have died while waiting to see him.
  A BBC reporter says the queues to see him stretch for 26km (16 miles).
  Belief in magic and the powers of traditional healers are widespread in Tanzania.
  Some witchdoctors say that the body parts of people with albinism are effective when making magic charms, leading to the killing of dozens of albinos in recent years.
  Mr Mwasapile's concoction is made from herbs and water, which he sells for 500 Tanzanian shillings (five cents; 3p).
  Medical experts in Tanzania are investigating both whether it is safe and if it has any medicinal properties.
  When she visited Mr Mwasapile's home near the northern Loliondo town recently, the BBC's Caroline Karobia found 6,000 people waiting to see the retired Evangelical Lutheran Church of Tanzania (ELCT) pastor.
  [​IMG] The queues stretched for 26km (16 miles) down the road
  They are waiting for days by the roadside and outside his home in Samunge village without shelter, clean water or toilets.
  As word has spread in the past month of the pastor's supposed ability to cure any ailments, some people have even been taken out of hospital by their relatives who believe they are more likely to be cured by Mr Mwasapile.
  Some of these have died before seeing him, while others are reported to have died after taking his concoction.
  Extra police have been deployed to the area to control the huge crowds, some of whom have travelled from neighbouring countries such as Kenya and even further afield.
  Mr Mwasapile asked for the break following a meeting with local officials.
   
 2. D

  DoubleOSeven JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Jul 5, 2008
  Messages: 661
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ... the shortest-cut appears that of seeking miracles. Other tales are about dreamers seeking miracles to wake up rich after the poverty of the previous night. The power of charms. As reported correctly, some are concocted out of human parts. The other day I read about this bloke who killed his wife and curved out her sexual parts for sale to the highest bidder, for use in making charms. As for albino killings, human skins, baby parts stolen from morgues etc are typical stories you come across now and then. Are tanzanians that backward?
   
 3. c

  chigwiye JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ingekua loliondo kumeibuka vita,vyombo vya habari vya mangalibi,loliondo inge make headlines. Ila coz hili ni pigo kwa dawa zao za ARV,na kisukari.kimya.Tukatae ukoloni milele
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hata sisi TULILIKATAA li-RADA lao la KIFISADI.

  Ila wakatumia Mabavu na tukaletewa.

  Nashukuru wamekosa Mteja wa Kumuuzia Mianzi ya Nyuklia, maana Mjapan sidhani kama atanunua tena.

  Hizi DDT mbona wametuuzia miaka kibao na Asbestos na wakaja wenyewe kusema HAZIFAI.

  Wajifunze na wao kuheshimu vya wengine. Ukweli ni kuwa ndiyo kwanza wanaitangaza.
   
 5. S

  Sambwisi Senior Member

  #5
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 166
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mti unaotumiwa kwa dawa na babu umeanza kutumika zamani na utafiti wa kisayansi umeonyesha unatibu. Tafiti hizo hazikufanyiwa kazi, MUNGU kwa kupenda WAJA WAKE akaamua kumuotesha Babu aitengeneze ili WAPONE. Kitaalamu mti huo unaitwa "Carissa edulis" na kumbukumbu ya tafiti hizo zipo. Inaelekea Mwandishi huyo wa BBC amekosa upeo wa utafiti. Dawa ya Babu sio ushirikina ni dawa ya miti-shamba ambazo zinatumiwa karibu kote ulimwenguni.
   
 6. mkute

  mkute Member

  #6
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wako sawa kabisa! what is the difference btn a witch doctor and Babu? a title Rev?
   
 7. mcfm40

  mcfm40 JF-Expert Member

  #7
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,142
  Likes Received: 1,779
  Trophy Points: 280
  Watanzania tu washirikina sana! Elimu bado inahitajika kubwa. Bado tunaishi karne ya 13 'medieval ages.' Haiwezekani karne hii watu bado wanaishi kwa kutegemea 'imani.' Tutaangamia watz tusipobadilika. Ndio maana nashauri hata katika katiba yetu mpya iwe stated clearly kwamba tanzania ni nchi inayofuata misingi ya 'rationality.' / au 'rational principals'
   
 8. Joyum

  Joyum Senior Member

  #8
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hata Kenya walishafanya sana utafiti kuhusu huu mti na umeonyesha unatibu magojwa ya Herpes virus. Check hii article hapa. Hawa wazungu bana kitu kikitoka kwao fresh ila kwetu kinaitwa uchawi...
   
 9. e

  ejogo JF-Expert Member

  #9
  Mar 28, 2011
  Joined: Dec 19, 2009
  Messages: 994
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna tofauti gani kati ya chinese medicine na hii ya babu! Ooh yah, hii ya babu inatibu magonjwa sugu.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,526
  Trophy Points: 280
  well said mkuu
   
 11. e

  emalau JF-Expert Member

  #11
  Mar 28, 2011
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,179
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  What about american evangelical churches who claim to perform miracles every now and then? are they not educatated? Na sisi watu weusi tunaimba tu kama kasuku kwamba vya kwetu havifai. Mimi nipo Arusha nina ushahidi wa kutosha watu wamepata nafuu sana. Ukipenda unaweza kuita ushirikina lakini as long as watu wanapona they don't care ! Maadamu paka anakamata panya basi hawataangalia rangi yake !!
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Je, wewe umefikiria vizuri zaidi na kutafakari kabla ya kukimbilia kwenye ukoloni? Je una uelewa mzuri na uwezo wa kutofautisha kati ya medicine na miracle? Je, dawa ya babu wa loliondo ina-qualify kwenye group lipi- miracle au medicine? Je unajua kwamba miracle ina properties zipi, na medicine je? Je is it possible kwa kuwa dawa na yenye qualities zote za medicine na miracle at the same time? Kwa kuamini kwenye maandiko matakatifu kwa wakristo, medicine is a medicine, na miracle ni miracle period.
   
 13. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #13
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  waafrika (tanzania) tuelimike. Dawa tunazo ziita za kisasa vidonge/sindano nyingi zimetokana na miti. Tabia ya kushabikia vitu vilivyotengenezwa na mzungu au mchina ndiko kumetufikisha hapa tulipo. Wazungu walipokuja kwenu tulikuwa na dawa zetu, elimu yetu na watu wetu waliishi miaka mingi (life expectance) kuliko leo. Hatukuweza kuendeleza sayansi yetu kwa kuwa iliitwa ya kishenzi-laiti tungeendeleza tungeweza kugundua mambo mengi ambayo yangekuwa msaada kwa dunia hii. Leo wachina wanatupa dawa za miti yao tunaamini; ila zile za miti zetu mwataka "tuziite za kishenzi??!!!!!" haya ni mawazo mgando. Cha msingi kama watu wanapona ni wajibu wa watanzania /wataalam "to dig deep" kuhusu dawa hii ili kesho na kesho kutwa iwe tanzania ndo ya kwanza duniai kuponyesha magonjwa sugu. We can do it. Hakuna kukubali kiurahisi mambo ya wazungu-hiyo imeshapitwa na wakati. Believe in your self-tanzanians, na fanya utafiti.
   
 14. Nico1

  Nico1 JF-Expert Member

  #14
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  kama inatibu mbona hawa ambao wameisha kunywa hiyo dawa wengi wao hawajapona? hasa watu wa HIV kama wamepona tunaomba ushuhuda wengi wao utasikia nimepata nafuu lakini siyo kupona kabisa kwanini ?
   
 15. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #15
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mchina akila chakula na sijuji chopstick tunasema mtaalam, mhaya akiweka chakula kwenye majani ya mgomba tunasema mshamba. Kazi kweli kweli.
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Mar 28, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  All beliefs in the supernatural are essentially the same to me, iwe mungu, shetani, uganga wa kienyeji (uaguzi na faith healing, not herbalism) angels, the loch ness monster, St. Claus, popobawa etc etc. All are beliefs based on ignorance or at best unfounded claims.

  Kwa hiyo mi sioni tofauti kati ya hao Wamarekani na wanaomuamini babu na wale wanaoomba ili mvua inyeshe.
   
 17. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Sasa hebu chukua mizizi ya muugamuryaga ukachemshe unywe. Mbona una-mix topic? Hii ni dawa ya mizizi au tiba ya miujiza. Ulitegemea waseme nini hapo. Wakitaka kuchukua sample, mwadai hamtaona kitu humo! Wakiita viini macho mnadai waafrika mnadharauliwa. Then which is which.
   
 18. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #18
  Mar 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,567
  Likes Received: 1,931
  Trophy Points: 280
  Lakini ni miti inayotibu kwa contents zake.
   
 19. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #19
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ...Unajidanganya kudhani babu ni tishio kwa makampuni ya dawa? Unasemaje kuhusu ngozi ya na viungo vya Albino,nilitishia uimara wa uchumi wa nchi za magharibi? Hii ni aibu kwa taifa kuwa na mlolongo wa matukio ya kishirikina na imani potofu katika karne hii ya 21
   
 20. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Ndugu yangu unajichanganya kwenye hoja yao.....huo mti sio dawa, ni mkono wa babu na kikombe chake ndio dawa. sasa wataalamu watadig deep wapi? babu mwenyewe kasema hata wapime hawaoni kitu!!! haya ndio yale yale ya kusema kuruka na ungo angani usiku na kusafiri na fisi kufanyiwe utafiti tuwe na ndege zetu
   
Loading...