BBC waianika Tanzania tena!


Ina maana ulipost mada kwa lengo la kupika uongo au kupindisha ukweli ?

Nilikuwa sijui kama nawe ni muandishi wa aina hii
 
Tatizo hili haliwezi kuisha kama hakutakuwa na juhudi za makusudi za serikali na wadau wengine zakusaidia jamii zinazozunguka machimbo na migodi hiyo kukuza uchumi na huduma za kijamii..wananchi wanamaisha duni sana ukizingatia tija inayotokana na jitihada zao ktk uchimbaji kuwa ni ndogo mno.wachimbaji wadogo bado wanatumia zana duni,hawana uhakika na mbale au deposits za madini na masoko.mambo haya na mengine yakizingatiwa na serikali hasa kwa kutoa mikopo yenye masharti nafuu au zana za kuchimbia,itaweza kuinua vipato vya wazazi na hata kampeni ya kupiga marufuku ajira za watoto itafanikiwa
 
umeenda kitalu kipi na kipi? kwenye shimo la nani na nani? ambapo hukuona watoto wewe? au watoto kwako mpaka ukute wamening'inia kwenye nyonyo za mama zao ndo unwhesabu kuawatoto?
 
m
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe ni journalist wa aina gani?hata common sense huna? Sasa kama kuna child labour mererani isesemwe? We Ulienda mererani ukakuta hakuna watoto?huu ukanjanja hadi lini?

swali swadakta
 
Child labour ni matokeo ya umasikini na ujinga. Piga vita maadui hawa na tatizo lingekwisha!
Baba wa taifa alianzisha vita hii, warithi wake wakalewa madaraka, wakawa mawakala wa wakoloni.
Hatuhitaji kuwa na elimu kubwa kulijua hili, lakini wapumbavu wenye shahada za vyuo vikuu watalijadili kwa kuzunguka!
 
Manyerere wacha kuwadanganya watanzania wenzako hili swala la child labour kwenye machimbo ya tanzanite (mererani) lipo tena ni la muda mrefu BBC wapo sahihi .

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
 
Last edited by a moderator:
Thanx sana kaka.....blame-game inataka kuwa na makazi ya kudumu miongoni mwetu...hii attitude yako ndio sahihi kwa nchi hii tulipofikia!!!!

nashangaa Manyerere Jackton anahangaika kukataa,nashangaa sana,maana ajira kwa watoto kwa Tanzania ni jambo lililosahaulika,hata yule afisa alohojiwa ameshindwa kusema strategies za kuliondoa,kama kuna mtu yupo Dodoma,atembelee soko la Majengo-Dodoma,aone ajira kwa watoto ambapo hilo ni tatizo kwa takriban miaka 20 tangu nianze kuliona,na bado linaendelea
 
Last edited by a moderator:


Ni Mkakati mzuri ili wasimamizi wa Sheria wafanye kazi na kuwa nusuru watoto wadogo na maisha hatarishi kabla ya kufikisha miaka 18. Ningekuwa Raisi ningeshamtimua kazi waziri wa Kazi.
Maeneo ya Migodi ni rahisi kudhibiti utumikishaji wa Watoto kwenye kazi za uchimbaji. Maeneo yanajulikana na hasa hili la mererani opareshini ya mara kwa mara na hasa kuufungia mgodi husika ni suluhisho la mara moja na majibu yanapatikana ikiwa ni pamoja na kumfikisha Mahakamani mwenye Mgodi . Huna haja ya kuhangaika na Watoto,watoto watyakuwa mashahidi Mahakamani.
 
 
Na pia kwa kipindi 2005 kurudi chi migodi ilikuwa haijaenda mbali lakini leo hii migodi inafikia km 1 na mt 400 kwenda chini mtoto hata weza hy kazi. Kwa kipindi cha nyuma napo watoto walikuwa hawafanyi kazi wao walikuwa ni kutumwa kutoa taarifa tu na vitu vidodog kulingana na umri wao. (Ngoma ya watoto haikeshi) mtoto hawezi (kusomoa) kutoa kiroba masaa 24 ni kitu ambacho hakiwezekani
 
Manyerere wacha kuwadanganya watanzania wenzako hili swala la child labour kwenye machimbo ya tanzanite (mererani) lipo tena ni la muda mrefu BBC wapo sahihi .

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

soon tutaanza kuambiwa ni taarifa za kupikwa na pale si Tanzania,ni BBC hawahawa walirusha makala ya uendeshwaj wa madangulo DAR na watoto ndo waliokua wakitumikishwa kwenye ngono,serikal mpaka leo haijachukua hatua madhubut kupambana na janga la madangulo tz
 
Waandishi wetu mnataka Tz isifiwe hata kama tunanuka? Acheni kujikomba. Ulitaka hata kama watotowanafanyishwa kazi wasifie au/
 

jana wameripot yapo mashimo ya mita zaid ya mia kwenda chin na watoto wanazama
 
watoto wanashuka chini kawaida me ni apollo mtoto ni nyoka wa kirenga tena anaspidi kuliko anashusha nakupandisha tindo haohao nyoka wako waliobaatika na wana maisha yao
 
Hakika kuna jambo tunalo takiwa kufikiri walau juu ya haya mambo,hasa hiyo ajira ya mererani,tukiachia huko wapo watoto weengi ambao hata kwenye taa za juongozea magari wanaosha vioo kwaaajili ya fedha wapo wano uza hayo magazeti yenu humu mitaani(sio ajira?)
Hali ya maisha ya nchi yetu ndio inayosababisha watoto hao kukimbilia huko sababu kubwa kufikikirika pesa ya haraka haraka,wengi wao yatima,labda nimuulize MANYEREre amesha wahi kufanya harakati gani ya kushawishi kupeleka taasisi yeyote pale kwaajili ya kuzuia ajira hizo yeye kama mwandishi mweledi,coz ninachokiona kwake nikutafuta habari na kuijengea hoja zisizo na mashiko
Ikumbukwe kuwa hao Tanzanite One hata hiyo migodi midogo midogo kwao ni mwiba ukizingatia kwa sasa kuna muingiliano mkubwa chini ya ardhi na eneo lao halitoi madini kama mwanzo tofauti na migodi midogo inayotoa kidggo madini,
Manyerere mkiwa kama waandishi weledi simamieni hili ndani na sio tusubiri tusemewe then mlete ushabiki
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…