BBC Swahili ni kituo cha kueneza Propaganda za Uislam?

Status
Not open for further replies.
Mwisho wako utakua mbaya sana hapa duniani,ndivyo mnavyo fundishwa hivyo au?
Wewe mwisho wako utakua mzuri eeh?.au utapaa kama eliya?.
mi nimesema ukweli mtupu,jesus was a gay,na kuna evidence kibao ndani ya bibilia,hamna haja ya kunilaumu mimi,walaumu waandishi wa bible japo wanajitahidi kuvibadili vifungu kuficha lakini ushahidi haupoteagi.
 
Ni kweli BBC kiswahili wanamatatizo ya udini, nawakumbuka sana kipindi cha vuguvugu la zanzibar walikuwa wanachochea sana yale machafukuko kwa kuingiza udini, nilimsikia ali salehe akisema hawa wakirsto wa bara ndiyo wanaosababisha hali hii hapa zanzibar, na kuanzia pale mapadri walianza kuuwawa na kumwagiwa tindi kali,
 
Muelewe vizuri mtoa mada,anachokusudia ni kwamba kuna mengi yapo tena mabaya mbona hayatangazwi sana na BBC
1.maaskofu mashoga,
2.watoto kubakwa na makasisi makanisani.
3.mapadre na masista kufanyana madhabahuni n.k
Anaona yakitangazwa hayo huenda ahueni ikapatikana.

Kumbe mapadri nao wanabaka !!

Mtoa mada kaa kimya tu play your part achana na hiz din za watu
 
Wewe mwisho wako utakua mzuri eeh?.au utapaa kama eliya?.
mi nimesema ukweli mtupu,jesus was a gay,na kuna evidence kibao ndani ya bibilia,hamna haja ya kunilaumu mimi,walaumu waandishi wa bible japo wanajitahidi kuvibadili vifungu kuficha lakini ushahidi haupoteagi.
Hivo upo duniani tu unatukana kuliko shetani je ukifika kwenye pepo yenu mlioahidiwa wanawake ambapo masikini zaidi atakua na wanawake 40 itakuaje mkuu?, jehanamu haitojaa kabla alah hajaingiza miguu yake humo,kaa ufikiri tena kuhusu hii dini mkuu.
 
Hata siku moja na haitatokea chombo cha habari cha magharibi kikatangaza jambo jema la waislam...wakitangaza ni kuhusu ugaidi wakihusisha na uislam sasa huko ni kutupendelea kweli? Au kutuchukia? One thing is for sure uislam ulikuwepo na utakuwepo mtake msitake..

Jana BBC wametangaza habari njema mbili za uislamu
Moja kuhusu Maelezo ya shekhe pale ufaransa akisema uislamu unalaani vikari uchinjwaji wa wafaransa uliofanywa na alquaeda el magharibi.
walitangaza pia jinsi waislamu walivyousanda msikiti wa daktari pale south ati kisa wapenz wa jinsia moja wanaswali pamoja.
Vyombo vya hsbari vinauelezea uislamu pande zote kulingana na habari. umefundishwa uongo na immamu wako. lakini ngoja nikuache dini yenu ya malalamiko na mmezaliwa mnanung'unika
 
Kila nikisikiliza BBC Swahili ninachosikia ni 80% ya habari zao zinahusu Uislam,Waislam na mambo yanaohusiana na imani hiyo.

Hii haijaanza jana wala majuzi lilipoibuka kundi la IS ila ni kuwa inaonekana wao hizo ndizo habari kipaumbele chao wanazotaka kulisha wasikilizaji wa idhahaa hiyo ya Kiswahili.

Swali langu hivi BBC Swahili hamuoni habari zaidi ya hizo kiasi cha kushehenesha 80% ya habari zenu kuhusiana na Uislam, Waislam na mambo yanayohusiana na dini hiyo?

Au ndio kusema nyie mmekuwa news outlet au kisemeo cha Waislam?

10710596_855318977820102_3654886384930184324_n.jpg
10671478_855318894486777_3184284660422361862_n.jpg
 
eti wale ambao wanachinjwa na kugeuzwa minofu na magaidi wa kiislamu miili yao hufanywa nini? Hupelekwa wapi maana hatuoni makaburi yao ama mnaaa.......... namashaka! ntaanza kuwaogopa
 
eti wale ambao wanachinjwa na kugeuzwa minofu na magaidi wa kiislamu miili yao hufanywa nini? Hupelekwa wapi maana hatuoni makaburi yao ama mnaaa.......... namashaka! ntaanza kuwaogopa
Kwahiyo unataka kusema wanawala?.
au kwamawazo yako unakubali kila kitu media wanatangaza kuwa ni kweli?
 
Naomba kuuliza maswali yafuatayo.

1. Kule Nigeria Boko haram ni kikundi cha wagalatia ?.Kazi nzuri wanayoifanya ya kuuwa watu,kutesa,kubaka watoto wadogo wanaifanya wakitumia imani gani ?.

2. Kule Somalia Al Shabab ni kikundi cha kigaidi cha wagalatia ?.Kazi nzuri ya ugaidi mpaka nje ya mipaka ya Somalia wanaifanya kwa kutumia kitabu gani Biblia au Quran ?.

3. Ukienda Africa ya kati mambo ni hayo hayo ugaidi,mauaji......

Mnataka BBC wasitangaze ugaidi wa Boko haram,Al shabab........
 
mkuu kinyungu bbc watakuuwa kwa presha achana nao we sikiliza redio maria au tumaini tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom