BBC Swahili ni kituo cha kueneza Propaganda za Uislam?

BBC Swahili ni kituo cha kueneza Propaganda za Uislam?

Status
Not open for further replies.
Wewe utakuwa shetani kabisa hata muislam hawezi tukana hivi,, huyu Yesu si ndio mnamwita nabii issa? Kweli dini zinafundisha matuc hivi,,?
Unanitukana bure ni maandiko ndo yamesema hivyo kuwa yesu alikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake mmoja,sasa kosa langu ni nini?,mimi siye niloandika bibilia,walaumu kina yohana sio mimi.
 
kuwa muislamu maana yake wewe ni mtu wakulalamika mpaka unakufa waislamu nyinyi hamna mungu ndio maana akili zenu zinakilema tangu mnazaliwa

ninyi mna dini yenu na sisi tuna dini yetu,
 
And they come into Bethany. And a certain woman whose brother had died was there. And, coming, she prostrated herself before Jesus and says to him, 'Son of David, have mercy on me.' But the disciples rebuked her. And Jesus, being angered, went off with her into the garden where the tomb was, and straightway a great cry was heard from the tomb. And going near Jesus rolled away the stone from the door of the tomb. And straightway, going in where the youth was, he stretched forth his hand and raised him, seizing his hand. But the youth, looking upon him, loved him and began to beseech him that he might be with him. And going out of the tomb they came into the house of the youth, for he was rich. And after six days Jesus told him what to do and in the evening the youth comes to him, wearing a linen cloth over his naked body. And he remained with him that night, for Jesus taught him the mystery of the kingdom of God. And thence, arising, he returned to the other side of the Jordan.
 
Unanitukana bure ni maandiko ndo yamesema hivyo kuwa yesu alikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake mmoja,sasa kosa langu ni nini?,mimi siye niloandika bibilia,walaumu kina yohana sio mimi.

Mkuu dini ni mfumo tu wa maisha Mungu ni mmoja, muhimu, sorry nmekutukana lakin hakuna maandiko ya vitabu vitakatifu vyote viwili bible au kitabu kitakatifu cha waislamu kilichoandika Yesu ni...... mi nmeishi na kulelewa na waislamu lakin hakuna kitu kama hcho unachokizungumza
 
#team udini kazini.....twendeni tukatazame soka ya mashkee na wachungaji....tofauti za imani na dini zipo tu and nothing u can do about it, u just live ur ways atakae vutiwa atafuatana na imani/dini yako.

Vyombo hivyo vya habari vina filisofia zao...kujipendelea/kujifeva wao zaidi.....mbona hushangai startv na habari zaidi za Mwanza/Kanda ya ziwa au ITV na Kilimanjaro, TBC na sisiem zaidii??!!
 
Unanitukana bure ni maandiko ndo yamesema hivyo kuwa yesu alikua na mahusiano ya kimapenzi na mwanafunzi wake mmoja,sasa kosa langu ni nini?,mimi siye niloandika bibilia,walaumu kina yohana sio mimi.

Weka hayo maandiko ili kuthibitisha madai yako ili ujitofautishe na mazezeta na mbumbumbu wengine wanaomfuata taahira mudy na shoga yake ala.
 
Si nimeweka andiko hapo.
pia sio lazima waseme wazi kuna ushahidi mzito wa kimazingira.
ukiachia kisa cha lazaro,vipi kuhusu yule mwanafunzi aliyependwa na yesu,yule ambae hata wakati wa kula alikua haishi kumwegemea yesu kifuani?
 
Weka hayo maandiko ili kuthibitisha madai yako ili ujitofautishe na mazezeta na mbumbumbu wengine wanaomfuata taahira mudy na shoga yake ala.
Punguza hasira mkuu,maandiko si ndo hayo nimeweka?.
pia suala la yesu kufikia miaka 35 akiwa single linajieleza lenyewe wala huhitaji kujiuliza sana.
 
Mleta uzi huna lolote zaidi ya chuki dhidi ya uislam! Anyway fanya sherehe maana si unaona raaha wanvyouawa? Kwa taarifa yako habar ya jana ya msikit wa Dubai ulioneshwa mchana, na CNN, ALJAZEERA,BBC English ,na PRESS TV, huna lolote chuki yako ni kuwa baadhi watangazaji wa BBC SWAHILI NI MUSLIM(salim kikeke, Zuhura yunus, kasim kayira) ha ha haaaa kajinyonye!

Daah ustaadh kassim kayira ,yule jamaaa anaongea lugha nyingi
 
Mungu ameshatueleza siku nyiingi sana kuhusu ninyi, na akatueleza hata namna ya kuishi na nanyi, na ndio maana hata sishangai mnapoutukana uislam, na mnapomtukana Mungu na Mtume, hubakia tu maumivu moyoni, na ndio maana ukamuona Muslim anamtukana YESU, huyo ana maradhi ya imani na hajitambui,
.Lakin kama hamjui ELOY( kiyahud), GOD(kiingerza), ALLAH(kiarabu), MUNGU(kiswahil) n.k ni yule yule haya ni majina tu, msiwe mnamtukana, kwani hata kama ni kibur lakini cha kumtukana ALLAH,?
 
Mfano jana ukiacha habari za IS,habari ingine ni ya msikiti huko Dubai sijui umejengwa kwa green tech, leo ukiacha habari za IS habari ingine ni msikiti wa afrika kusini sijui umekubali mashoga na wanawake, yaani kwao habari ni hizo tu.

Mnakera sana nyie watu au ndio vichwa vimewajaa udini hadi huko ughaibuni?

hivi hizo habari zinazohusu uislam kwa akili yako Kinyungu unaona ni nzuri kwa waislam? bac mi zinanikera kwani zinatutusi cc waislam.
 
Last edited by a moderator:
Siyo lazima uwasikilize! Are u happy na kuchinjwa kwa wanadamu wenzako???

Kwani hao wanaochinja binadamu wenzao si ni waislamu? Wengine hatuoni ajabu maana waislamu hata hapa Tanzania wanasema kuchinja ni haki yao bila kujali wanachinja nini! Umesahau waislamu walivyomchinja mtu kule Katoro-Geita?
 
Muelewe vizuri mtoa mada,anachokusudia ni kwamba kuna mengi yapo tena mabaya mbona hayatangazwi sana na BBC
1.maaskofu mashoga,
2.watoto kubakwa na makasisi makanisani.
3.mapadre na masista kufanyana madhabahuni n.k
Anaona yakitangazwa hayo huenda ahueni ikapatikana.

acha ubazazi wenu kama mambo hayo uliyoyataja hayakutangazwa na vyombo hivyo vya habari unavyo vitaja wewe hizo habari ulizipateje?au ulizipata kupitia radio Teheran.msipende kulalamikalalamika hovyo, au ukilalamikia kila jambo unapata thawabu
 
masheee je? Kwa Sodoma na Gommorah zinapatikana nchi gani Kama sio za kiislamu huo ni mchezo wa waislamu ?
WORLD'S TOP GAY CITIES
The most popular destinations for gay travellers, as voted for by readers of GayCities.com, are:
1. Tel Aviv - 43 per cent
2. New York - 14 per cent
3. Toronto - 7 per cent
4. Sao Paolo - 6 per cent
5= London - 5 per cent
Madrid - 5 per cent
7. New Orleans - 4 per cent
8. Mexico City - 4 per cent
Sao Paolo came in at four with 6 per cent, while rounding out the top five with 5 per cent each were London and Madrid.
GayCities described Tel Aviv as 'the gay capital of the Middle East is exotic with a Mediterranean c'est la vieattitude'.
Tel Aviv Mayor Ron Huldai hailed his 'free city' and said he is proud
 
Usishangae maana hata hivyo walioko huko asilimia kubwa toka zamani ni walewale hivyo kudumisha si mbaya sana.

Nyie mna yenu tu, kwani hamjui hizo ndizo habari zinazogonga vichwa vya habari duniani kwa sasa??? Tatizo watanzania mmezoea kulalamika kila jambo. Msipo lalamika hamjisikii vizuri. Na hii inaonesha ninyi ndo mmejaa udini. Ukiona BBC wanakuboa mbona kuna station nyingi tu za kusikiliza na kuangalia???
Msipende kuonesha mapungufu yenu mbele za jamii huku mkidhani mtafurahiwa
 
Kama Uislam ni tishio au sio tishio sio jambo la muhimu....swali langu kwani hiki ni kituo cha dini ya Kiislam? Kwa nn wao habari zao kila.siku ni za mrengo wa Uislam tu?

Huo ni mtazamo wako, kwani BBC unaangalia peke yako??? Tatizo unaonekana una negativity na Uislamu ndo maana ukiona habari hata moja tu ya Uislam inakuwa kama taarifa nzima imejaa habari hizo. Na wewe inaonekana ni MDINI sana. Na hilo litakufanya ukonde kila siku usipobadilika. Mimi sijaona tatizo la BBC kwa kuwa wanatangaza habari zinazotikisa dunia kwa wakati huo, na sio kile unachotaka wewe. Mbona walipokuwa wanatangaza issue za mashoga wa Vatican na Papa hukusema, na habari za TB Joshua jumba lake kuua watu hukusema. Hili la Afrika kusini la msikiti ndo umeona wanaeneza uislamu! You must change your attitude my friend, vinginevyo utakonda sana. Mwili unao, tatizo hunenepi sababu ya roho mbaya yako. Anzisha redio yako kama vp
 
Mleta mada mimi binafsi sijakuelewa,labda nikuulize hutaki kusikia uislamu na habari zake zikitajwa B.B.C ama vipi?.Achilia mbali uhakika wa habari hizo?.Nilivyokuelewa hutaki kusikia habari za uislamu hata kama habari hizo ziko dhidi ya uislamu.Umeshawahi kufanya utafiti kuwa hiyo % uliyoisema ina dhamira gani?.Mkuu B.B.C na vyombo vyote vya habari duniani hasa vya magharibi viko dhidi ya uislamu.Na ndo maana waislamu wengi hawaamini kwa kiasi kikubwa vyombo hivi!.

Wakaya umemwambia vizuri sana huyu jamaa sijui hata hiyo % alotupa kaipataje. Labda atueleze hiyo research alofanya katua methodology gani, kwa muda gani, na criteria zingine. Siyo aje tu kwa kufikiria atwambie 80% ya habari zao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom