BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Katika kile kinachoonekana jeshi la Polisi nchini kukosa imani tena kwa jamii serikali imeridhia uchunguzi wa mashirika ya kijasusi toka nje. Ili kujua nani yuko nyuma ya kadhia hiyo.

Concern
Hapa najua wanataka kuwatupia watu wa nje lawama nahakika wanajua nani anaendesha mauwaji lakini unafiki wa kukamatana ndo unawasumbua hawa serikali. Uchunguzi ukitoka utawasikis "kulingana na uchunguzi wa kijasusi toka nje umebaini.........." Ili wao waonekane sio walio watia hatiani watuhumiwa.
 
Katika kile kinachoonekana jeshi la Polisi nchini kukosa imani tena kwa jamii serikali imeridhia uchunguzi wa mashirika ya kijasusi toka nje. Ili kujua nani yuko nyuma ya kadhia hiyo
Nimemsikia Nchimbi akithibitisha hilo...ameomba kibali kwa Raisi ili kuruhusu wataalamu kutoka nje (Majasusi) kushiriki pamoja na jeshi la polisi kuharakisha uchunguzi wa jambo hilo. Yaonekana jeshi letu halina mbinu madhubuti na za kisa sa za kuweza kupambana na uhalifu wa aina hii kwa kuwa bado linafanya kazi kizamani.
 
Huu ni upuuzi....hivi wanataka kutuambia kuwa.......haya mambo hawakuyafahamu.....mbona walishaambiwa na viongozi wa dini kule Zanzibar!!.........muddo sick!
 
tunachezewa tu hapa

watakuja na majibu sahihi, atasimama kwenye mkutano na wazee wa dar kisha atasema "hao wazungu wa yao hao"

then kila kitu kitaishia hapo

he is just crewing us deep
 
Shehe Ilunga, shehe ilunga ilunga ilunga!!!!

Niliwahi kukoment hapa kuhusu ugaidi wa shehe Ilunga kufuatia haya mahubiri yake..

Jana Askofu wa katoliki Mwanza alikuwa anatoa mahubiri ambayo kama kweli serikali ingekuwa inania ya dhati ingemuhoji ili naamini angeweza kutoa maelezo ya kukamatwa watu fulani maana nakumbuka alisema kwamba hawa watu wammewahi kutembeza vipeperushi kwamba sio mwisho wa mapambano na kwamba vijana wao kutoka somalia wameshahitimu na watawafanya makafiri wajute kkatika kipindi hiki cha kwaresma...

Sasa kwani hawa polisi wasianzie hapo ili kujua ni nani hao....Bila kumkamata Ilunga Kapungu wa Mwanza tuteggemee vita kubwa kubwa na mbaya sana
 
Hii ni aibu ina maana CID,TISS,CMI hakuna coordination yoyote ya kunusa na kuzuia hatari kizalendo?

Kuruhusu majasusi wa nje ni kukiri kwa serikali kuwa system imefeli!

Then tunachukua hatua gani maana hiyo ni 100% indicator hatupo salama tena!
 
Nimemsikia Nchimbi akithibitisha hilo...ameomba kibali kwa Raisi ili kuruhusu wataalamu kutoka nje (Majasusi) kushiriki pamoja na jeshi la polisi kuharakisha uchunguzi wa jambo hilo. Yaonekana jeshi letu halina mbinu madhubuti na za kisa sa za kuweza kupambana na uhalifu wa aina hii kwa kuwa bado linafanya kazi kizamani.
Waziri huyu naomba kusema ni 'mpuuzi' (samahani mods simaanishi matusi).

Hili ni tusi kwa vyombo vyetu vya usalama. Tahadhari zimetolewa mara ngapi? Mara ngapi JK amekuwa briefed juu ya kinachoendelea na kupewa namna za kukabiliana nacho? Did he take trouble?

Nchimbi, hebu jaribu kufikiria mara mbili. Ni udhaifu wa hali ya juu kushindwa kutatua masuala madogo kama haya sisi kama nchi na kukimbilia kusaka 'hisani' ya wafadhili. Mnakera sana wanasiasa
 
Baadaye ataita na mercenaries kuja kudhibiti upinzani, yetu macho. Nchi ya fully unnecessary breaking news. Hivi kweli chanzo cha haya madudu hakijulikani?
 
Ex spy hivi pale wanausalama wanapotoa tahadhari alafu watawala wakapuuzia hawana mbinu mbadala wa kuilinda nchi yetu waliyo apa kuilinda kwa gharama yoyote?
 
Kiukweli sina imani na serikali kabisa.Kwanini iwe sasa?Kama jeshi la polisi lina mapungufu usalama wetu unalindwa na nani?Je wakimaliza na kuondoka nani atazuia mauwaji mengine?Au watkua wanakuja tena kila baada ya mtu kuuawa?
'
Usalama wa sisi raia nani anausamamia?Taifa lipo kwenye wakati wa hatari kuliko wakati wowote ule,sioni kama juhudi hizi zinatosha
'
Mitaani kuna CD's nyingi sana za uchochezi,serikali haizioni?Au inasubiri tena kuleta makachero kutoka nje?Hawa watu wanaoendesha mihadhara ya wazi ya kashfa kuhusu imani nyingine si wanafahamika?
'
Tuko gizani halafu huko gizani tunapambana na nyoka wakali wenye sumu tutaponaje?
 
Rais Jakaya Kikwete amekubali wapelelezi wa nje kuchunguza kifo cha Padre Evaristi Mushi

Source: BBC Swahili
 
Rais Jakaya Kikwete amekubali wapelelezi wa nje kuchunguza kifo cha Padre Evaristi Mushi

Source: BBC Swahili

Jana Wazilinzi wa mambo ya Ndani Comrade Nchimbi alitoa tamko ya kwamba aliwasiliana na Rais ili kupata kibali cha kutumia wachunguzi toka nchi zilizoendelea ili kuwabaini magaidi na Rais akakubali. Hapa naona FBI wanaingia kuwasaka wauaji.

Naungana mkono na serikali ya kwamba wawatumie wenye uwezo ili hao wauaji watafutwe, wapatikane na wafikishwe mbele ya sheria. Hizi chokochoko zenye harufu ya kidini zisije kuliangamiza Taifa letu.
 
Mhuu! JK amekubali FBI kuja kuchunguza kizungumkuti cha Dr.Ulimboka? au ni double std
Mkuu hoja iliyopo mezani kwa sasa ni uchunguzi wa kifo cha padri!

Au hutaki hoja hii ijadiliwe kwa sababu unazozijua mwenyewe?
 
Shehe Ilunga, shehe ilunga ilunga ilunga!!!!

Niliwahi kukoment hapa kuhusu ugaidi wa shehe Ilunga kufuatia haya mahubiri yake..

Jana Askofu wa katoliki Mwanza alikuwa anatoa mahubiri ambayo kama kweli serikali ingekuwa inania ya dhati ingemuhoji ili naamini angeweza kutoa maelezo ya kukamatwa watu fulani maana nakumbuka alisema kwamba hawa watu wammewahi kutembeza vipeperushi kwamba sio mwisho wa mapambano na kwamba vijana wao kutoka somalia wameshahitimu na watawafanya makafiri wajute kkatika kipindi hiki cha kwaresma...

Sasa kwani hawa polisi wasianzie hapo ili kujua ni nani hao....Bila kumkamata Ilunga Kapungu wa Mwanza tuteggemee vita kubwa kubwa na mbaya sana
Huyu sheikh Ilunga anafikiri atabaki salama wakati kila mtu atakapoamua kunyanyua silaha yake juu!
 
Asante hiroshima. Huyu jamaa simpendi hasaa yeye tamaa zake za uraisi ndie aliwafata mashehe akiwa na mchawi mwenzie makamba. Wakawaingizia mashehe udini vichwani mwao leo hii anaropoka nini hapa. Kwann makachero toka nje inamaana usalama wa taifa hawaiwezi hii kazi?????pumbaf kabisa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom