BBC Africa: Tanzania abductions.

BBC Africa: Tanzania abductions.

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,072
Reaction score
136,485

View: https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR

Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa.

Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi.

Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika.

Licha ya kwamba sisi ni banana republic, lakini pia tunaelekea kuwa a pariah state.

Na ndo maana si ajabu huyu dikteta wetu wa kike kapunguza safari zake kwenye nchi za magharibi.

Anaishia kwenda Burundi, Uganda, na kwa wajomba zake huko Oman.

Na kwa kilichotokea leo kuhusu ofisi za JF, kama habari ni za kweli, tutakuwa tunarudi nyuma kwa kasi ya ajabu sana.

Hongera BBC kwa kumulika haya matendo ya Samia Hassan na wahuni wenzake.
 
Hili ni shambulio dhidi ya uhuru wa kuzungumza, kupeana elimu ya uraia, na masuala kibao ya kuwezesha raia kuwa watu huru wenye taarifa sahihi za kuwawesheza kupata maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kijiopolitiki

Wanataka watu wasiwe na ufahamu au kuwa watu huru.

HISTORIA YA FAMILIA KUTEKA CHAMA, JAMHURI, CHAGUZI ZA NCHI, BUNGE, MAHAKAMA NA KUFANYA UVAMIZI :

Mwazilishi wa udiktekta Uchwara Papa Doc pamoja na ulinzi wa bodyguards naye alitembea na chuma kujilinda
1757078679884.png

Haitian Dictator François 'Papa Doc' Duvalier carrying a gun as he rides through Port Au Prince streets, 1963​


UTAWALA WA BABA NA MWANA ULIVYOTEKA HAITI, NA KUONGOZA GENGE LA WASIOJULIKANA

Baby Doc
Jean-Claude 'Baby Doc' Duvalier after his return to Haiti on Sunday.

ILLUSTRATION: Associated Press
"I'm not here for politics," Mr. Duvalier told Radio Caraïbes, a local station. "I'm here for the reconstruction of Haiti."
1757078590671.png

‘Law is paper’ (katiba ni karatasi tu)​

Plagued by extreme levels of poverty and natural disasters like the 2010 earthquake that the Haitian government estimates killed 316,000, Haiti faces numerous challenges to strengthening all institutions, not just the justice system.

There’s a well known Creole proverb here: “lwa se papye, bayonet se fe,” which translates to “law is paper, bayonets are iron," and for much of Haiti's history violence has prevailed.

Duvalier a.ka Baby Doc , who was just 19 when he succeeded his father François “Papa Doc” Duvalier as “president for life,” is accused of corruption and repression, among other human rights abuses.

Like his father, he relied on a private militia known as the Tonton Macoutes to enforce his rule, but in 1986 he was forced out of office by a popular uprising. Duvalier fled to France in exile.

“The rule of the gun, of money, and of political power has prevailed” in Haiti, says William G. O’Neill, a human rights lawyer and former senior adviser to the United Nations.

The question of equality​

One may not need look further than the Baby Doc case as an example of inequality in Haitian society and the justice system, observers say.

“Nothing has been done to remind the new generation of Haitians of Duvalier atrocities,” says historian Michel Soukar, who lectures at universities throughout Haiti. And Haitians have watched as Duvalier and his cronies “never paid for their crimes,” he says. In fact, many Haitians still speak fondly of the Duvalier era, when the streets were safe, movie theaters existed, and there was a plentiful supply of electricity.

WATU WASIOJULIKANA WAKATI WA UTAWALA WA PAPA DOC NA BABY DOC,


View: https://m.youtube.com/watch?v=pNcipLHJ0po
 
Back
Top Bottom