BBA Stargame... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BBA Stargame...

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Papa Mopao, May 11, 2012.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Nimegundua kitu kimoja, katika Big Brother inayoendelea sasa hivi huko Africa Kusini, kuna makundi mawili, la kwanza ni kundi lililojaa wasanii na kundi la pili si la wasanii. Kuna utofauti mkubwa sana katika haya makundi mawili. Kundi la wasanii limechangamka zaidi na wanaoneshwa kwa muda mrefu kuliko lile kundi la pili, vilevile kuna umoja fulani hivi, lile la pili naona kila mtu na time yake, umoja wao si wa kuridhisha.

  Kundi la wasanii lina waongeaji wengi na wacheshi, kundi la pili sijalisoma kabisaaaaaa!
   
 2. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kundi la kwanza,wamejaa vizibo tu,fake wengi! Kdogo kna prezo,me penda goldie n ladymay..rok kdogo..bt thy r cul..kule kwngne majungu jazz
   
 3. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wako cul kabisa kwenye kundi la kwanza kwa jinsi nilivyowasoma, ila kundi la pili naona bado hawajazoeana kabisa, ndo maana wamepewa task ili wapate kuzoeana mapema!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  muwe mnatuadisia hivyo hivyo.....eehe....hamna mtu katongozwa....?....nani kaonekana ndude yake wakati wa kuoga....?
   
 5. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  hahaha umeona eh!
   
 6. S

  Skype JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Safari hii hakuna staili za kina boke?
   
 7. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ola n Chris voluntarily exited the bba game, ola anabp anahtaj close medical care jaman..duh ntammiss Ze BiG Ola
   
Loading...