Bazazi: mtu atumiaye hila, udanganyifu laghai, pwagu, mzandiki, mwongo, mnafiki.
Fataki: kipande kidogo cha shaba kinachotiwa baruti na kilichomo ndani ya risasi
Hakuna uhusiano wa kisemantiki baina ya maneno haya mawili, lakini kimatumizi, neno fataki tunaweza kulifananisha na bazazi kama mtu "baruti/risasi": mwepesi wa kukwepa, wa kulipua na kupenya; na mwenye kasi na ufundi wa maneno.
Hahaha! Umenifanya nimtafute, sehemu kubwa ya maana inajieleza kwenye avatar yake:Bazazi ni member wa JF......ngoja aje akueleze maana ya jina lake.....
Hahaha! Umenifanya nimtafute, sehemu kubwa ya maana inajieleza kwenye avatar yake:
About Bazazi
Location:Mzururaji tu.
Occupation:Opportunist
Signature--Ikiwaka Mulika; Ikizima Papasa
Hahahahahaha thanks Mamndenyi
cc: mabazazi: Vin Diesel, KakaKiiza Kaizer na Asprin.
Bcc: Nicas Mtei, watu8 - kwa taarifa
Hahahahahaha thanks Mamndenyi
cc: mabazazi: Vin Diesel, KakaKiiza Kaizer na Asprin.
Bcc: Nicas Mtei, watu8 - kwa taarifa
List ya Mabazaz wa JF hyo. Taarifa zao ninazo
Inakuaje we Bazaz uliyekubuhu? Nawe utakuwepo Escape 1?
Nakusubiri mahakamani!jitoe fahamu huku!List ya Mabazaz wa JF hyo. Taarifa zao ninazo
Wewe Mentor na Vin Diesel ndo vibazazi vinavyochipukia. Hamuachi kitu mpaka dada zenu kulaaleki
Nakusubiri mahakamani!jitoe fahamu huku!
miss neddyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyWewe Mentor na Vin Diesel ndo vibazazi vinavyochipukia. Hamuachi kitu mpaka dada zenu kulaaleki